Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

hivi huyu bibi anadhani hizi ni enzi zilee !!!!!! ambazo watanzania walipelekwa pelekwa kwa hofuu na umbu mbumbu NOO!!
 

Celine "Dion" Kombani wake up, unataka formal appeal iwe namna gani hiyo hebu tueleze, kwani mwaka 1977 kulikuwa na formal appeal iliyoletelezakutungwa kwa katiba mpya. Mbona unaanza kupwaya madarakani haraka hivyo.

Watu wanataka Katiba mpya sasa au unataka waingie mitaani ndo ujue kuwa hiyo ndo application yenyewe.
 

Waziri anajibu utumbo-utumbo tu.

Hii ndiyo Tanzania bana.

Kwamba "the craving for a full review was not in the interest of citizens and the government." This is what we call ridiculous
 
Huyo ndiye waziri aliyeaminiwa na JK kuiendesha wizara ya katiba na sheria. Hizi comment hazijatoka kwa mtu msomi mwenye kuipenda nchi yake bali kutoka kwa jambazi au jambazi mwenza anayeiba demokrasia ya wengi.
KATIBA ina matatizo makubwa hata kipofu anajua lakini huyu wazimu anasema tumwandikie na tumpe mapendekezo.
Kweli kuchagua ccm ni maafa makubwa
 
Nilisema kwamba kupongeza uteuzi wa baraza la mawaziri ni ulimbukeni. mnaona sasa??
muwe mnasikiliza wakubwa jamani
 
Kukubali katiba mpya kwa CCM ni sawa na kujichimbia kaburi wenyewe!CCM wamekuwa wakishinda chaguzi mbalimbali kwa sababu ya ubovu wa katiba iliyopo!
 
'' that the state was also not ready to initiate a process to re-write the constitution since it has not received any formal appeal from those advocating for constitutional reform''
From this you can read from the minds of the so called african administrators! They (administrators) are unwilling/ can't integrate the situation! Mpaka watu wauane! Shame on us Africans
 
ndo maana mmi nataka tutwangane vita kidogo ndo wataona umuhimu wa kuandika katiba mpya hawa

Katiba mpya ya nini bana, ni kupoteza rasilimali za nchi tu bure. Hakuna katiba mpya vipengele vyenye matatizo leteni tuvirekebishe. WELL DONE MRS. KOMBANI
 
I think that a petition for changing the constitution should be written and signed by all citizens of URT and be presented to this minister. It is high time she started doing what the tax payers have sent her to do, instead of making lame and ridiculous statements, like the one she has just made.
 
I thought we the people are the ones who knows whats important, whats needed. Expensive undertaking?...... dont make me laugh

Just ask her how expensive and you will laugh more....she is already planning to get a big meal ou of it....if they cant tell wahat SADC stands for...surely they dont know evene wahat the katiba is all about
 
Waziri anajibu utumbo-utumbo tu.

Hii ndiyo Tanzania bana.

Kwamba "the craving for a full review was not in the interest of citizens and the government." This is what we call ridiculous

Si unajua majibu ya ccm, oh tunataka mhimili mmoja ushikwe na jinsia nyingine wakati hiyo haikuwa issue. Kukataa katiba ni kuahirisha tataizo katiba si ya ccm ni ya wananchi wote. imepitwa na wakati mmno kwa sababu:
1. ilitungwa wakati wa mfumo wa chama kimoja
2. Kutokana na 1 juu madaraka makubwa yamewekwa kwa raisi
3. wakati huo haki za msingi hazikuwepo, sasa zimewekwa lakini hazikidhi mahitaji ya wananchi
4. inakuwa vigumu kwa raia wa kawaida kudai haki zao za msingi

Kwa kuonyesha kuwa katiba imepitwa na wakati angalia hii katika miaka 33 ya uhai wake katiba imefanyiwa marekebisho mara 15 yaani wastani ya kila miaka miwili katiba inarekebishwa mara moja.
 
Kukubali katiba mpya kwa CCM ni sawa na kujichimbia kaburi wenyewe!CCM wamekuwa wakishinda chaguzi mbalimbali kwa sababu ya ubovu wa katiba iliyopo!
Well said! Kinachotakiwa ni wananchi wa kada zote, vyama vya siasa, na taasisi mbalimbali kusimama kidete kudai haki ya kuwa na katiba mpya itakayopelekea tume huru ya uchaguzi itakayotenda haki kwa vyama vyote kwasababu anayeibiwa kura si vyama vya siasa bali ni sisi wananchi tunaonyimwa viongozi tunaowachagua kwa maendeleo ya taifa!!
 
ivi uyo waziri anjibu ivyo kutetea masilahi ya chama n waliompa iyo nafasi au.i canno imagine mtu anakosa chembe huruma na nchi yakeee,mweee jamani ningkua mm bora nsitoe izi kauli mna hata watoto wangu nyumbani wakisoma hii habari watniona zezeta,shame on u mama celina
 
Huyu maza haiwezi hiyo wizara. Ni kubwa mno ukilinganisha na uwezo wake.
Huu si muda wa kuongea maneno ya kipuuzi kama huyo wakati wazalendo wanauguza madonda yaliyotokana na katiba mbovu.
 
Sasa kombani subiri nguvu ya umma,how dare you talk like a nonsence woman? Hivi ni kweli unachokiongea ni kutoka akilini mwako?kama ndivyo,basi you are a hopeless woman and you should be ashamed infront of your fellow women.sidhani kama mnaweza kuzuia nguvu ya wananchi.naiona sasa tanzania yenye machafuko
 

Huyu Waziri ni wazimu sana, anataka watu waingie msituni ili wapate katiba mpya. Asifikiri
Kenya ni tofauti na Tanzania. Binadamu ni wale wale, hivi hakuona kimbunga cha kudai matokeo ya uchaguzi,kwenye miji ya Arusha na Mwanza?????????.
Umma upo pale unasubiri kuhamasishwa, sijui atajificha wapi. Watu wasikilizwe katiba mpya ni muhimu.
Waziri amka usilale kumekucha sasa Watanzania wanataka katiba mpya sio hii ya kifisadi!!!!!!!!!!!
 
Ninaelewa Tanzania ni muungano wa nchi mbili yaani Tanganyika na Zanzibar. Katika mfumo wa sasa Zanzibar inayokatiba yake na pia kuna katiba ya jamhuri ya muungano yaani Tanzania. Ni dhahiri Zanzibar inabadili katiba yake (kama inavyotokea mara kwa mara) kwa ajili maslahi ya wazanzibar ndani ya muungano. Najiuliza ni chombo gani kinalinda maslahi ya Watanganyika? Hatuna bunge, hatuna raisi, ....! Now i'm asking myself, how can we protect Tanganyikans interests in this so called muungano. I'm just thinking loudly!
Napendekeza kwanza tuwe na katiba ya Tanganyika, then tuibadilishe katiba ya Jamhuri ya Muungano ili kukidhi yaliyomo katika katiba hizi za nchi mbili, NAPENDEKEZA.
 
Kitaeleweka tu acha aendelee na majibu ya kitoto wakati watu wanataka katiba......Hapo Wizara ina mzigo na si Waziri ana Mzigo! huyo mama hatoweza hiyo Wizara :hungry:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…