KATKA LINALOONEKANA MAJAJI NA WASOMI KUCHOSHWA NA UBABAISHAJI, WASOMI NA MAJAJI WAMEENDELEZA KILIO CHA KUISHINIKIZA SERIKALI KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU.
1. JAJI BOMANI -AMESEMA SERIKALI YA CCM IACHE WOGA -KATIBA MPYA NI LAZIMA AMA KWA KUPENDA AU KUSHINIKIZWA NA NGUVU YA UMMA, ZAMA ZA GIZA ZIMEISHA.-source Mwanachi Jumapili ya leo, Katiba mpya iondoe sheria 40 kandamizi za nyalali, utumwa wa tume huru, na udikiteta wa ccm
2. Prof Mushi, Dr. Azavel na Dr.Banna -Wamesema serikali iache ubabaishaji katiba mpya ndio mstakabali wa maendeleo na amani ya nchi hii -pasipo haki hakuna amani.
3. Prof Issa Shivji -anasema kilio cha katiba ni cha wanachi wote wakiwemo ccm -na kilikuwepo tangu 1990, sasa anashangaa inakuwaje sio kipaumbele kwa ccm huu ni unyanyasaji wa watanzania 40 million.
wana JF bila kubaki nyuma KATIBA MPYA ndio ukombozi
mafisadi wanaonufaika na mfumo wa sasa na katiba ya sasa ikiwemo kikundi kidogo cha ccm kimemtuma celina kusema haya yote ni maneno ya mtaaani -kazi ipo kweli kweli na hichi kisiki, JK amemwonea kweli kumtwisha hili zigo huyu mama hataweza manake hadi sasa ameshaboa wasomi na wazelendo wote hata Dr. Banna wa redet.
Watanzania tuamke tudai katiba mpya ya wananchi.