Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

au basi wakuu wa mikoa wachaguliwe kwa utaratibu wa kupitishwa na bunge! Tanzania hatuna rais for sure tuna mfalme with almost absolute power and almost accountable to nobody
 
angalizo tu hapa: ktk mchakato mzima suala la imani litenganishwe kabisa na katiba. I mean mambo ya dini kila mtu awe huru as long as haingilii uhuru wa mwananchi mwinge wala kuleta madhara kwa nchi. Maana kuna wapuuzi wachache wanaweza kutaka kutumoa nafasi kama hii kuingiza ajenda zao za udini na ukabila.
 
Nimeoteshwa kuwa kuna katiba mpya soon..........viashiria hivyi hapa
  • JK ni mtu wa kupenda kusifiwa
  • Kuna presha inatengenezwa na wasaidizi watu wa kimaendeleo
  • CHADEMA umakini wao umestua wengi hasa wawekezaji
  • turn out ya 2010 imestua watu hata wale wasiopenda kuiona. Achaneni na Celina, ni mshabiki huyu.
Mikutano ya kampeni na tukio la juzi la kuwalk out na habari zake jinsi zilivozungumza zimeamsha watu. Mimi naiona hiyooooooo.

Time will tell.
 
Hawa CHADEMA nashindwa hata kuwashangaa !!! inakuage wanadai katiba mpya wakati hawana nchi, si wadai nchi Tanganyika baadae KATIBA. Wanaingia Bungeni na kudai katiba ya nchi nyengine ambao walikataa kupoteza nchi yao eti imevunja katiba ya nchi isiokuepo (Tanganyika)
 
HUU NDIO UKWELI MWINGINE AMBAO WEEEENGI WA WADANGANYIKA HAWAPENDI HATA KUUSIKIA!:teeth:
 
sijaelewa ni kwa nini tusidai kuwa na inchi yetu TANGANYIKA then ndo tufikirie jamuhuri ya muungano
 
KATKA LINALOONEKANA MAJAJI NA WASOMI KUCHOSHWA NA UBABAISHAJI, WASOMI NA MAJAJI WAMEENDELEZA KILIO CHA KUISHINIKIZA SERIKALI KUANZA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU.

1. JAJI BOMANI -AMESEMA SERIKALI YA CCM IACHE WOGA -KATIBA MPYA NI LAZIMA AMA KWA KUPENDA AU KUSHINIKIZWA NA NGUVU YA UMMA, ZAMA ZA GIZA ZIMEISHA.-source Mwanachi Jumapili ya leo, Katiba mpya iondoe sheria 40 kandamizi za nyalali, utumwa wa tume huru, na udikiteta wa ccm

2. Prof Mushi, Dr. Azavel na Dr.Banna -Wamesema serikali iache ubabaishaji katiba mpya ndio mstakabali wa maendeleo na amani ya nchi hii -pasipo haki hakuna amani.

3. Prof Issa Shivji -anasema kilio cha katiba ni cha wanachi wote wakiwemo ccm -na kilikuwepo tangu 1990, sasa anashangaa inakuwaje sio kipaumbele kwa ccm huu ni unyanyasaji wa watanzania 40 million.

wana JF bila kubaki nyuma KATIBA MPYA ndio ukombozi
mafisadi wanaonufaika na mfumo wa sasa na katiba ya sasa ikiwemo kikundi kidogo cha ccm kimemtuma celina kusema haya yote ni maneno ya mtaaani -kazi ipo kweli kweli na hichi kisiki, JK amemwonea kweli kumtwisha hili zigo huyu mama hataweza manake hadi sasa ameshaboa wasomi na wazelendo wote hata Dr. Banna wa redet.

Watanzania tuamke tudai katiba mpya ya wananchi.
 
mbona sion jaji kati ya ho ulotaja hapo juu.....anyway katiba mpya ni muhimu lakini kwa kuwa viongozi wa juu ni bogas kuuanzia mwenye nyumba.... so ni ngumu sana.....
 
Katiba mpya inahitaji wananchi tuidai. Tusijidanganye kwamba watawala wetu wanaweza kutupatia hiyo Katiba bila pressure. Haijawahi kutokea popote ulimwenguni. Kila kizuri kina gharama. Na kama unakitaka huna budi kulipa gharama.
 
Jaji bomani, jaji amir manento, jaji kisanga.....................................
 
Jamani watanzania tunadanganyika kweli, hakutakuwa na katiba mpya chini ya utawala wa ccm mnajidanganya bure, hata mfanye nini. Pia wananchi wengi hawajajua bado umuhimu au mahusiana ya maendeleo yao na katiba. Nilisikia baadhi ya wasomi wakisema KATIBA KITU GANI BWANA SISI TUNACHOTAKA NI WABUNGE WATULETEE MAENDELEO!!!. Kama hao ni wasomi wanadiriki kusema hivyo je wale walioko vijijini watasema nini?? MTAJI WA CCM NI UJINGA WA WANANCHI.
 
MTAJI WA CCM NI UJINGA WA WANANCHI.

Katiba mpya ndio Dira ya maendeleo watake wasitake kitaeleweka tu! Sioni nini kitakacho ikwamisha katiba Ya Tanzania.
Watanzania wale waelewa tuzidi kueleweshana ili kila mtu ajue nini umuhimu wa Katiba mpya!
 
Katika Swala la KATIBA MPYA na Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, sisi VIJANA tunasema kwamba AMA UKO NASISI, upande wa mabadiliko ya kweli, AU UNAENDELEA KUTETEA UFISADI wa kutisha nchini mwetu.
 
mbona sion jaji kati ya ho ulotaja hapo juu.....anyway katiba mpya ni muhimu lakini kwa kuwa viongozi wa juu ni bogas kuuanzia mwenye nyumba.... so ni ngumu sana.....

Nilishamsikia Jaji Manento alilizungumzia hilo. umesema hujaona jai huyo Jaji Bomani nin nani? au we hujui kama ni jaji?
 
Katika Swala la KATIBA MPYA na Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, sisi VIJANA tunasema kwamba AMA UKO NASISI, upande wa mabadiliko ya kweli, AU UNAENDELEA KUTETEA UFISADI wa kutisha nchini mwetu.
Kama watanzania wangekuwa wanataka KATIBA mpya wasingeweza kuichagua CCM, kwanza hawakuweka swala la katiba katika ILANI yao ya uchaguzi. Kwanza watu 'wamefurahia' sana hotuba ya Kikwete bungeni ambayo katika vipaumbele vyake Katiba haimo. Niliwahi kusema kuirudisha CCM madarakani ni sawa na kusema UFISADI hakuna Tanzania, KATIBA mpya hatuitaji.
 
Back
Top Bottom