YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 37
au basi wakuu wa mikoa wachaguliwe kwa utaratibu wa kupitishwa na bunge! Tanzania hatuna rais for sure tuna mfalme with almost absolute power and almost accountable to nobody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MTAJI WA CCM NI UJINGA WA WANANCHI.
mbona sion jaji kati ya ho ulotaja hapo juu.....anyway katiba mpya ni muhimu lakini kwa kuwa viongozi wa juu ni bogas kuuanzia mwenye nyumba.... so ni ngumu sana.....
Kama watanzania wangekuwa wanataka KATIBA mpya wasingeweza kuichagua CCM, kwanza hawakuweka swala la katiba katika ILANI yao ya uchaguzi. Kwanza watu 'wamefurahia' sana hotuba ya Kikwete bungeni ambayo katika vipaumbele vyake Katiba haimo. Niliwahi kusema kuirudisha CCM madarakani ni sawa na kusema UFISADI hakuna Tanzania, KATIBA mpya hatuitaji.Katika Swala la KATIBA MPYA na Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, sisi VIJANA tunasema kwamba AMA UKO NASISI, upande wa mabadiliko ya kweli, AU UNAENDELEA KUTETEA UFISADI wa kutisha nchini mwetu.