Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,910
Issue ni kufikisha ujumbe.... Kwahiyo mimi am just a normal person mlalahoi tu wakaida, nimefikilia kuhusu ili jambo, na nikaona kuna uwezekano wa watu kukusanya majina ambayo yatakuwa kwenye hiyo email; na nitaforward hapa jamvini. Hili sio suala langu ni la kila mtu.. Petition inatoka kwa wananchi wote sio kwangu tu. I am not important just a mediator au call me mtoa wazo tunaweza tukaboresha kama kuna mtu ana wazo zuri
Mimi niko tayari nakuunga mkono kabisa katiba mpya ni muhimu. Lazima tuonyeshe kuwa tuko serious sio utani. Ila katiba inasema tukiwa na saini kama million tano hoja yetu itachukuliwa hatua bungeni ili tupate katiba mpya faster?