Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

Issue ni kufikisha ujumbe.... Kwahiyo mimi am just a normal person mlalahoi tu wakaida, nimefikilia kuhusu ili jambo, na nikaona kuna uwezekano wa watu kukusanya majina ambayo yatakuwa kwenye hiyo email; na nitaforward hapa jamvini. Hili sio suala langu ni la kila mtu.. Petition inatoka kwa wananchi wote sio kwangu tu. I am not important just a mediator au call me mtoa wazo tunaweza tukaboresha kama kuna mtu ana wazo zuri

Mimi niko tayari nakuunga mkono kabisa katiba mpya ni muhimu. Lazima tuonyeshe kuwa tuko serious sio utani. Ila katiba inasema tukiwa na saini kama million tano hoja yetu itachukuliwa hatua bungeni ili tupate katiba mpya faster?
 
Naamini bila shaka kabisa kwamba watanzania wengi tunataka kuwa na KATIBA MPYA ya kuiongoza nchi yetu. Na kwa hali ilivyo, hakuna jinsi, katiba mpya tutaipata tu... Ninachotaka tujadili leo; ni katiba ya aina gani wewe ungependa tuwe nayo? Tukiangalia zaidi mfumo mpya wa kiutawala na mambo mengine ya msingi katika katiba. Karibu!!
 
Topic hii inafaa ijadiliwe kwa kirefu ni vema tushiriki kwa uadilifu bila kuingiza itikadi , topic hii tuijadili kama swala la kitaifa zaidi asanteni.

Mchango wangu:
Mimi napendekeza tuendelee kuwatumia Chadema kama watoa mada kwa kuwa wao ndiyo wameanzisha na hatimaye tunaona moto unavyoshika kasi.Chadema wanaweza kuandaa mdahalo kama walivyofanya juzi walipokutanishwa Hamed Rashid na Mbowe, katika mdahalo huo wawepo wazungumzaji wakuu wanaoheshimika ki-nchi kutokana na mchango wao kwa Taifa hili mfano main speaker could be Prof.Shivji, Baregu, Dr.salim Ahamed salim, Judge Warioba, just to mention but few.Na hata hao wakikataa watafutwe hata vija wenye uelewa mpana wa mambo ya katiba.
Kutokana na kuwepo kwa mdahalo wanachi watapewa nafasi pana ya kuuliza maswali nchi nzima kwa uhuru bila woga.

Nadhani tukifanya hivi tutakuwa tumefungua rasmi mjadala wa kitaifa na ndipo ASASI zingine zitafuata kwa kuhamasisha ushiriki wa wannchi katika mjadala.

Tukumbuke swala hili litakuwa linafanyika kwa mara ya kwanza hapa Tanzania, yawezekana taasisi za dini zinaogopa kuingia na kuchangia mjadala pengine kwa kutokuwa na uzoefu katika kudai katiba, zinaweza kuingiwa na woga kwani tayari mkuu wa nchi ameshaanza kuvitisha kwa madai ya udini.

Iwapo main speakers wataweza kuwatoa woga watanzania na kuwapa njia sahihi tuna imani mambo yatapamba moto na ndani ya miaka mitano tunaweza kuwa na katiba.

Dada yetu MWAKITWANGE ametuonyesha uzoefu mzuri katika kuendesha midahalo ninapendekeza she should take the lead.
 
Wapo watakaosema ms kachanganyikiwa. lkn hawa ni wale Chadema na wengine.Swala la katiba mpya ni swala nyeti,kwani kabla ya kuibadilisha lazima isomwe na itambulike na kila raia. ndani ya katiba ya sasa kuna mambo ambayo inawezekana yameingizwa na yamezoleka kwakuwa tu , watu wataanza kuyahoji na kutaka kuondolewa lkn na wengine watayapinga. uhasama utaanza.Moja ya Hilo ni Dini kuwa tofauti na siasa. hapa ndani ya katiba swala hili linaweza kuleta mjadala mkubwa na kupoeteza umoja wa kitaifa.Tumezoea kuona ubalozi UKIPEPEA na tumezoea kuona hivyo. lkn tutaka kuona jee katiba inaruhsu au mazoea Tu. nasema bado tena bado katiba mpya kwa sasa
katiba ya Tanzania 1977 kipengele cha 19(1) na 20 (1)…
swala dogo la oic, na mahakam ya kadhi ilivyotuathiri, tunameona baadhi ya vyombo vya habari vilivyolala. nadhani tuwe wakweli hatupo tayari kwa sasa

M S Sasa naona imepanda kichwani upelekwe Milembe. Bila shaka wewe una maslahi binafsi na hii ruling system, kama si hivyo wewe umewekwa na mafisadi kuvuruga watu wenye nia nzuri na nchi hii. Badilika baba uwe kama mwanzi angalia usiwe mwembe ukangolewa na upepo wa mabadiliko!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tunahitaji katiba mpya sio kuziba na kuweka viraka umeelewa???????????????????
 
Endapo kuna mtu wa karibu na wahusika wakuu wa CHADEMA humu na basi haya mawazo yetu tunayoendelea kuyatoa hapa JF yasiishie tu hewani. Kwani, hatujadili hapa kwa ajili ya kujifurahisha tu bali ni kwamba tunacho DHAHABU hapa ambacho sisi vijana tunakitafuta kwa udi na uvumba.

Au wazee mnasemaje juu ya hilo nalo??
 
Wapo watakaosema ms kachanganyikiwa. lkn hawa ni wale Chadema na wengine.Swala la katiba mpya ni swala nyeti,kwani kabla ya kuibadilisha lazima isomwe na itambulike na kila raia. ndani ya katiba ya sasa kuna mambo ambayo inawezekana yameingizwa na yamezoleka kwakuwa tu , watu wataanza kuyahoji na kutaka kuondolewa lkn na wengine watayapinga. uhasama utaanza.Moja ya Hilo ni Dini kuwa tofauti na siasa. hapa ndani ya katiba swala hili linaweza kuleta mjadala mkubwa na kupoeteza umoja wa kitaifa.Tumezoea kuona ubalozi UKIPEPEA na tumezoea kuona hivyo. lkn tutaka kuona jee katiba inaruhsu au mazoea Tu. nasema bado tena bado katiba mpya kwa sasa
katiba ya Tanzania 1977 kipengele cha 19(1) na 20 (1)…
swala dogo la oic, na mahakam ya kadhi ilivyotuathiri, tunameona baadhi ya vyombo vya habari vilivyolala. nadhani tuwe wakweli hatupo tayari kwa sasa

Ndugu,

Hivi unajua kuwa hiyo 1977 wananchi hawakushiriki kuiandika bali kamati ya TANU/ASP ikiongozwa na Warioba? Sasa tunataka katiba shirikishi sio iandikwe na wtu wachahce halafu wanaka kuichakachua kila wanapoona maslahi yao yako mashakani.
 
Tunaamini wengi wa viongozi wa chadema wanatembelea kila siku JF.Ni chadema pekee ndiyo wansubiriwa kuwasha moto huu muhimu ili moto huo umulike nchi nzima watanzania wapate kuona toka gizani umuhimu wa katiba na Tume huru ya uchaguzi
 
Inahitajika elimu ya umma kubwa ili kiwango cha uelewa utumike kahamasisha nguvu kubwa ya umma, ambayo ndiyo itakayoleta Tume Huru ya Uchaguzi na Kuandikwa Katiba Mpya!!!!!!! Vinginevyo ni mbinu za sisiemu na serikali yake kufanya dilly dallying!!!!!!!!!!! Kinachotakiwa hapa sasa ni elimu pana na ya kina kuhusu maovu ya katiba ya sasa na madhara yatokanayo-kuendelea kutawaliwa na madikteta na mafisadi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
There is another arrangement,tumeanzisha movement group Tanzania-Patriotic Movement as an ecumenical, non-partisan and very-very focused group

We on the threshold now,This momentum must not be lost or else we return back to the treachery. People must develop the spirit of inconvenience and boycotting.Debating if it is the man or woman that killed the snake is irrelevant, what wants matters is that the snake must be killed period! That snake of corrupt or manipulative leadership must be kille
d
 
Katika facebook yake nape anasema kama ifuatavyo:-

"NAAMINI KATIBA MPYA HAIEPUKIKI,ITS A MATTER OF TIME. TUANZE KUJADILI CONTENTS ILI TUONE KAMA TUNA VITU VIPYA AMBAVYO HAVIMO KWENYE KATIBA YA SASA!"

Nape ni mmoja kati ya wana CCM ambao hawaogopi kusema yaliyo ya kweli. Kama Nape angepata ndani ya CCM like -minded youth wa kutosha wangeweza kuleta mabadilko makubwa. Tatizo vijana wenye mawazo makubwa kama hawa hawapewi nafasi ndani ya ccm. Ila ndani ya chadema vijana wana nafasi.
 
Ajitokeze hadharani aseme sio kukaa kwenye mafacebook na kunongona

I do not buy this

Ni mwanamapinduzi mmoja alieamua kupata mkate wake wa siku kupitia CCM.
 
Kila aitakiae TZ maendeleo ataafiki Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi.
 
Nape ni mmoja kati ya wana CCM ambao hawaogopi kusema yaliyo ya kweli. Kama Nape angepata ndani ya CCM like -minded youth wa kutosha wangeweza kuleta mabadilko makubwa. Tatizo vijana wenye mawazo makubwa kama hawa hawapewi nafasi ndani ya ccm. Ila ndani ya chadema vijana wana nafasi.

So if he knows about this, what is he doing about it
 
Ni mwanamapinduzi mmoja alieamua kupata mkate wake wa siku kupitia CCM.

Makinda N.... Sijui nikushishie kipondooo....... duu acha ninyamazee tuuu kwa maana ni comment huo uppuzi wako nitapigwa ban
 
Akiendelea kuchonga atapoteza ukuu wa Wilaya!
Shauri yake!
 
Back
Top Bottom