Maendeleo ni stress tupu

Maendeleo ni stress tupu

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .

Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain status yako.

Kuna ukweli hapa?
 
Kuna tofautu kubwa kati ya kupata  Maendeleo na kupata Utajiri
Kila binadam anapenda afanikiwe kupata maendeleo na maendeleo ukiyapata hauwezi ukawa na stress.
Lakini pia sio kila mtu anaweza akatajirika, na mtu yeyote anapo tajirika anatamani asipungukiwe pia aweze kumantain utajiri wake na hapo ndipo mwanzo wa kupata stress
 
Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .

Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain stutus yako.

Kuna ukweli hapa?
Ndo maana ccm hawataki hizo mambo
 
Kuna tofautu kubwa kati ya kupata  Maendeleo na kupata Utajiri
Kila binadam anapenda afanikiwe kupata maendeleo na maendeleo ukiyapata hauwezi ukawa na stress.
Lakini pia sio kila mtu anaweza akatajirika, na mtu yeyote anapo tajirika anatamani asipungukiwe pia aweze kumantain utajiri wake na hapo ndipo mwanzo wa kupata stress
Una nyumba nzuri, gari nzuri, bima ya afya, unaweza kwenda sehemu ya starehe ukafurahia maisha, ndugu ENJOY. Ukianza tu kuutafuta utajiri zaidi ya huo utaishi maisha ya stress mno.
 
kaka,maendeleo bila ya pesa hakuna maendeleo...

ubaya wa maendeleo ni kutaka zaidi,human is not satisfied.
 
Una nyumba nzuri, gari nzuri, bima ya afya, unaweza kwenda sehemu ya starehe ukafurahia maisha, ndugu ENJOY. Ukianza tu kuutafuta utajiri zaidi ya huo utaishi maisha ya stress mno.
tatizo unavotumia utahitaji mazuri zaidi.
 
Back
Top Bottom