Maendeleo ni stress tupu

Maendeleo ni stress tupu

imagine rais alostaafu licha ya kulipiwa vitu vingi na serikali bado anaendeleza harakati za kuwanyonya wananchi.
Sasa hizo hela hata zikiwa nyingi anafaidika nazo kivipi? Wakati hata nguvu za mwili tu zimepungua, unakuta anaumwa haruhusiwi kula baadhi ya vitu.

Au anafurahi tu kuona account zinasoma namba kubwa?
 
Sasa hapo umekubali nini na umekataa nini?

Unaweza kurudia kuandika chote hicho ulichoandika kwa Kiswahili?
kama umeelewa vizuri post yangu kuwa nimeweka achivment zote 2,utajiri na maendeleo ya kawaida yote yanastress ila jamaa kaja na hoja kuwa watu tunashindwa kutofautisha mimi ndiyo nikamtofautishia.

whats wrong?
 
Utajiri ni nini na maendeleo ya kawaida ni nini?
 
Utajiri ni nini na maendeleo ya kawaida ni nini?
utajiri ni ukwasi wa mali inajumuisha fedha,umiliki wa kampuni,mifumo ya kibiashara na ardhi najua unafahamu maana ya ukwasi.

lakini utajiri una kiwango chake na hadhi

maendeleo ya kawaida inajumuisha zile indicators ambazo ni kula,kulala,kumiliki kipato.

nadhani kidogo umeelewa sitaki kutafuta karatasi za kusoma kwa sasa.

but nimeelezea kwa namna ambavyo tunadebate/muktadha wa mada ila kuna maana tofauti na hizo katika mizani/kipimo
 
Utajiri si lazima uwe ukwasi wa mali.

Kuna watu wana utajiri wa network zao, si net worth zao.
 
Ni kweli, mtu ana jumba la kifahari ila halali ndani. Kuna aliyelazimisha kulala ndani akafukuzwa na nyuki, tena ana bahati zingemuuwa.
 
Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .

Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain status yako.

Kuna ukweli hapa?
There are two problems in life; The problem of having too much money or the problem of having less money
Chagua linalokufaa na upambane.
 
Back
Top Bottom