Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengine ni Roho tu za korosho hawana shukrani.Una nyumba nzuri, gari nzuri, bima ya afya, unaweza kwenda sehemu ya starehe ukafurahia maisha, ndugu ENJOY. Ukianza tu kuutafuta utajiri zaidi ya huo utaishi maisha ya stress mno.
Imagine watu wanakwita mkuu,kiongozi,boss,nani atake iushuka hapo!Tamaa huzidi baada ya kuonja raha ya kuwa na pesa
100% true..!! Hasa kwenye ku-maintain status, FULL STRESSNakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .
Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain stutus yako.
Kuna ukweli hapa?
Kwangu, mtu yeyote anayeishi tofauti na kipato chake, huyo ni mchawi..!! Huwezi kuwa na utajili mkubwa halafu utembee na ndala zilizotoboka..!! 'Ukinga' huo sina..!!Watu wengine ni Roho tu za korosho hawana shukrani.
Yaani unamkuta mtu kanyaukaaaa! Na huku pesa anazo eti anatafuta utajiri.
Mfano nashangaa kuona Mzee wa miaka 65+ bado anahangaika kukusanya pesa ingali tayari anazo nyingi tu (wanasiasa)Hata majambazi anaanza kwa kuiba majumbani......wanaomtuma wanamzoesha viwanja vya starehe kali vya gharama.
Wanaanza kumtuma hadi damu na vichwa vya watu. Anatekeleza tu kama zuzu
Hofu ya kufirisika ndyo huchangia watu wengi kuzidi kuwa na tamaa ya kuongeza vipato vyao hata kwa njia haramuImagine watu wanakwita mkuu,kiongozi,boss,nani atake iushuka hapo!
Sio maendeleo, bali utajiri ni stress sana.Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .
Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain stutus yako.
Kuna ukweli hapa?
Hakuna mazuri zaidi, ni stress zaidi.tatizo unavotumia utahitaji mazuri zaidi.
imagine rais alostaafu licha ya kulipiwa vitu vingi na serikali bado anaendeleza harakati za kuwanyonya wananchi.Mfano nashangaa kuona Mzee wa miaka 65+ bado anahangaika kukusanya pesa ingali tayari anazo nyingi tu (wanasiasa)
Sasa apo Mungu anaingiaje watu wengine sijui mpoje isee!Hamumtaki Mungu Mwenye utoshelevu
kweli mzeeHakuna mazuri zaidi, ni stress zaidi.
Ninavyojua, fomula ni nyepesi tu, kadri unavyojulikana kuwa wewe ni tajiri ndivyo watu wanavyoumiza kichwa kuchukua fedha zako na ndivyo unavyoumiza kichwa kuzikusanya zinazochukuliwa.
Unakuwa kwenye trap ya utafutaji na hutoona kuwa ulichonacho kinatosha kukupa furaha, ndo pale unashangaa mtu ana Fixed deposit ambazo zinampa riba nzuri tu, ana appartment sehemu nzuri tu zinazompa kodi nzuri, ana biashara sehemu nzuri ila hana raha sababu anafungua kiwanda chake na watu wa serikali wanakiandama na ukaguzi sababu mshindani wake anawahonga wamkwamishe.
I think it is contrary to that. The worse life gets is the more reason not to be a believer.Hamumtaki Mungu Mwenye utoshelevu ndo shida, the more life is frustrating the more you should know kuna Mungu!
Na hao wa kupigika ndio inakuaje kuaje ,nisije nikawa nimekaa tu na sina hela kumbe natakiwa kupigika halaf napoteza muda kukwepa kipigo? 😂roughly 90% ya watu ili kuendelea lazima upigike japo kuna wanaoendelea kwa bahati na vipaji ambao ni kama 10%
Kabisa mkuu.kweli mzee
Sio ufukara ila utajiri kiasi, usio wa mashindano unatosha kukupa furahaKumbe ufukala/umasikini ni NO stress hapa Tanganyika!!
KAZI ni kipimo cha UTU
everything is stressful but normally status is better than being rich manKumbe ufukala/umasikini ni NO stress hapa Tanganyika!!
KAZI ni kipimo cha UTU
Watu wamekariri kuwa maendeleo ni utajiri wa kiuchumi.Kuna tofautu kubwa kati ya kupata Maendeleo na kupata Utajiri
Kila binadam anapenda afanikiwe kupata maendeleo na maendeleo ukiyapata hauwezi ukawa na stress.
Lakini pia sio kila mtu anaweza akatajirika, na mtu yeyote anapo tajirika anatamani asipungukiwe pia aweze kumantain utajiri wake na hapo ndipo mwanzo wa kupata stress
I think it is contrary to that. The worse life gets is the more reason not to be a believer.