Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
changamoto hiyoKupata pesa sio kazi, kazi ni kuendelea kuwa na pesa baada ya kupata pesa
Wengi wanaangukia kwenye pesa haramuKupata pesa sio kazi, kazi ni kuendelea kuwa na pesa baada ya kupata pesa
mkojo 😊Ukiwa wa kwanza darasani hutotaka ushuke..
maendeleo ni stress, naunga mkojo hoja
hapana kwa kweliHamumtaki Mungu Mwenye utoshelevu ndo shida, the more life is frustrating the more you should know kuna Mungu!
Mungu yupi? Na kwanini asingeumba watu wanaomtaka automatically kama anapenda kutakwa?Hamumtaki Mungu Mwenye utoshelevu ndo shida, the more life is frustrating the more you should know kuna Mungu!
Kupigika lazima.......mbunye na pombe uweke pembeni kwanza.roughly 90% ya watu ili kuendelea lazima upigike japo kuna wanaoendelea kwa bahati na vipaji ambao ni kama 10%
Tamaa huzidi baada ya kuonja raha ya kuwa na pesaWengi wanaangukia kwenye pesa haramu
Wanaanza na historia nziuri ya kupambana kwa jasho.....wakifika mbele tamaa inawaka.
Ndo maana ccm hawataki hizo mamboNakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .
Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain stutus yako.
Kuna ukweli hapa?
Hata majambazi anaanza kwa kuiba majumbani......wanaomtuma wanamzoesha viwanja vya starehe kali vya gharama.Tamaa huzidi baada ya kuonja raha ya kuwa na pesa
Kweli😆😆😆one must learn to be rich, to be poor anyone can manage - GUS FRING
Una nyumba nzuri, gari nzuri, bima ya afya, unaweza kwenda sehemu ya starehe ukafurahia maisha, ndugu ENJOY. Ukianza tu kuutafuta utajiri zaidi ya huo utaishi maisha ya stress mno.Kuna tofautu kubwa kati ya kupata Maendeleo na kupata Utajiri
Kila binadam anapenda afanikiwe kupata maendeleo na maendeleo ukiyapata hauwezi ukawa na stress.
Lakini pia sio kila mtu anaweza akatajirika, na mtu yeyote anapo tajirika anatamani asipungukiwe pia aweze kumantain utajiri wake na hapo ndipo mwanzo wa kupata stress
kaka,maendeleo bila ya pesa hakuna maendeleo...Kuna tofautu kubwa kati ya kupata Maendeleo na kupata Utajiri
Kila binadam anapenda afanikiwe kupata maendeleo na maendeleo ukiyapata hauwezi ukawa na stress.
Lakini pia sio kila mtu anaweza akatajirika, na mtu yeyote anapo tajirika anatamani asipungukiwe pia aweze kumantain utajiri wake na hapo ndipo mwanzo wa kupata stress
tatizo unavotumia utahitaji mazuri zaidi.Una nyumba nzuri, gari nzuri, bima ya afya, unaweza kwenda sehemu ya starehe ukafurahia maisha, ndugu ENJOY. Ukianza tu kuutafuta utajiri zaidi ya huo utaishi maisha ya stress mno.