Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
- Thread starter
-
- #41
maendeleo sio utajiriWatu wamekariri kuwa maendeleo ni utajiri wa kiuchumi.
Inabidi wamsikilize LKJ katika "More Time".
View: https://youtu.be/_0abSDI9E-s?si=6OoAtmpd_yo14ut9
Sasa hapo umekubali nini na umekataa nini?maendeleo sio utajiri
utajiri ni high achivement of development
Sasa hizo hela hata zikiwa nyingi anafaidika nazo kivipi? Wakati hata nguvu za mwili tu zimepungua, unakuta anaumwa haruhusiwi kula baadhi ya vitu.imagine rais alostaafu licha ya kulipiwa vitu vingi na serikali bado anaendeleza harakati za kuwanyonya wananchi.
Wewe kuniita mpumbavu kwaajili tu ya kutofautiana mawazo na wewe ni ishara tosha kabisa kuonyesha uteke wako kiakili.Katika hekima ya Upumbavu wako uko sahihi
Sure...one must learn to be rich, to be poor anyone can manage - GUS FRING
Siku hizi hata ukienda tu kununua vitunguu sokoni utaitwa "Mkuu, Boss, Kiongozi," wasitutishe sisi wenyewe Mabosi 🤭Imagine watu wanakwita mkuu,kiongozi,boss,nani atake iushuka hapo!
kama umeelewa vizuri post yangu kuwa nimeweka achivment zote 2,utajiri na maendeleo ya kawaida yote yanastress ila jamaa kaja na hoja kuwa watu tunashindwa kutofautisha mimi ndiyo nikamtofautishia.Sasa hapo umekubali nini na umekataa nini?
Unaweza kurudia kuandika chote hicho ulichoandika kwa Kiswahili?
yap wamejaa stressWake akina elon musk ba wenyewe wana stress?
Utajiri ni nini na maendeleo ya kawaida ni nini?kama umeelewa vizuri post yangu kuwa nimeweka achivment zote 2,utajiri na maendeleo ya kawaida yote yanastress ila jamaa kaja na hoja kuwa watu tunashindwa kutofautisha mimi ndiyo nikamtofautishia.
whats wrong?
utajiri ni ukwasi wa mali inajumuisha fedha,umiliki wa kampuni,mifumo ya kibiashara na ardhi najua unafahamu maana ya ukwasi.Utajiri ni nini na maendeleo ya kawaida ni nini?
Utajiri si lazima uwe ukwasi wa mali.utajiri ni ukwasi wa mali inajumuisha fedha,umiliki wa kampuni,mifumo ya kibiashara na ardhi najua unafahamu maana ya ukwasi.
lakini utajiri una kiwango chake na hadhi
maendeleo ya kawaida inajumuisha zile indicators ambazo ni kula,kulala,kumiliki kipato.
nadhani kidogo umeelewa sitaki kutafuta karatasi za kusoma kwa sasa.
but nimeelezea kwa namna ambavyo tunadebate/muktadha wa mada ila kuna maana tofauti na hizo katika mizani/kipimo
kaka kama umeelewa mwisho wa sentesi yangu hili jambo usinge ongea.Utajiri si lazima uwe ukwasi wa mali.
Kuna watu wana utajiri wa network zao, si net worth zao.
Umejihami kwa kuwa definition yako finyu, that is my point.kaka kama umeelewa mwisho wa sentesi yangu hili jambo usinge ongea.
ukiambia udefine sera utajibu vipi?Umejihami kwa kuwa definition yako finyu, that is my point.
Kwa nini hili swali ni relevant hapa?ukiambia udefine sera utajibu vipi?
There are two problems in life; The problem of having too much money or the problem of having less moneyNakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' .
Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo na hata ukifikia utakutana na changamoto kubwa kumaintain status yako.
Kuna ukweli hapa?
yah ni relevant..au policy haihusiki ktk development?Kwa nini hili swali ni relevant hapa?