Maendeleo: Uwanja unaochezwa Ramadhani Cup unaoitwa Jakaya Kikwete ulioko Kariakoo umejengwa na nani?

Ule Uwanja ulijengwa n Club ya Sunderland ya UK

Wale Jamaa walitaka kuwajengea Uwanja Simba

Jakaya akamwita Mzee Ismail Aden Rage akiwa Mwenyekiti wa Simba enzi hizo akamtaka shauri lakin kwa sharti Simba ivae jezi zenye nembo ya Sunderland yenye Njano kidooogo

Jk akamuuliza Jezi za Simba tukiweka Unjano njano Makomandoo wa Simba watakuelewa?

Rage aliposita, Jakaya akaamuru ule Uwanja ujengwe kidongo chekundu na dili la Simba likafia hapo

Maelezo haya sijatunga wala kuota, alitamka Jk mwenyewe hadharan

Najua pamoja na 'nia njema' yake alipata Msukumo kutokana na Uyanga wake akatukosesha uwanja wekundu wa Msimbazi
 
Ishu nzima ilianzia hapa
images (1).jpeg
images (1).jpeg

images.jpeg
 
Ule Uwanja ulijengwa n Club ya Sunderland ya UK

Wale Jamaa walitaka kuwajengea Uwanja Simba

Jakaya akamwita Mzee Ismail Aden Rage akiwa Mwenyekiti wa Simba enzi hizo akamtaka shauri laki kwa sharti Simba ivae jezi zenye nembo ya Sunderland yenye Njano kidooogo

Jk akamuukiza Jezi za Simba tukiweka Unjano njano Makomandoo wa Simba watakuelewa?

Rage aliposita, Jakaya akaamuru ule Uwanja ujengwe kidongo chekundu na dili la Simba likafia hapo

Maelezo haya sijatunga wala kuota, alitamka Jk mwenyewe hadharan

Najua pamoja na 'nia njema' yake alipata Msukumo kutokana na Uyanga wake akatukosesha uwanja wekundu wa Msimbazi
😆😆😆😆
 
Ni Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa. Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe?

Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku, nampongeza aliyejenga uwanja huu.
Mkuu mwaya nasikia mafuriko yamemeza kijiji
 
Ni Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa. Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe?

Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku, nampongeza aliyejenga uwanja huu.
Inaonekana wewe si mfuatiliaji wa masuala ya soka nchi hii. Kidongo chekundu mbona panatajwa kila siku. Dah
 
Back
Top Bottom