😆😆😆😆Ule Uwanja ulijengwa n Club ya Sunderland ya UK
Wale Jamaa walitaka kuwajengea Uwanja Simba
Jakaya akamwita Mzee Ismail Aden Rage akiwa Mwenyekiti wa Simba enzi hizo akamtaka shauri laki kwa sharti Simba ivae jezi zenye nembo ya Sunderland yenye Njano kidooogo
Jk akamuukiza Jezi za Simba tukiweka Unjano njano Makomandoo wa Simba watakuelewa?
Rage aliposita, Jakaya akaamuru ule Uwanja ujengwe kidongo chekundu na dili la Simba likafia hapo
Maelezo haya sijatunga wala kuota, alitamka Jk mwenyewe hadharan
Najua pamoja na 'nia njema' yake alipata Msukumo kutokana na Uyanga wake akatukosesha uwanja wekundu wa Msimbazi
Ni SunderlandUna uhakika ?
Wewe mkenya unatuchosha.Ni Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa , Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe ?
Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku , nampongeza aliyejenga uwanja huu
Leo Kikwete anapongezwa wewe ? Kweli siasa haina adui wa kudumu.Ni Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa , Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe ?
Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku , nampongeza aliyejenga uwanja huu
Kampuni ya Symbion PowerNani alijenga ?
Kuuliza si ujingaLeo Kikwete anapongezwa wewe ? Kweli siasa haina adui wa kudumu.
Siyo mkandarasi kweli?Nani alijenga ?
Kwani Richmond inahusika ?Mleta mada lengo sio uwanja ni kutuma ujumbe anaokusudia.
Richmond, Symbion........???????
Bavicha mnatabu sana.
Mkuu mwaya nasikia mafuriko yamemeza kijijiNi Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa. Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe?
Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku, nampongeza aliyejenga uwanja huu.
Inaonekana wewe si mfuatiliaji wa masuala ya soka nchi hii. Kidongo chekundu mbona panatajwa kila siku. DahNi Jiji la Ilala wakati ule likiwa bado Manispaa. Ni jiji la DSM au ni Mfadhili fulani ama ni Mzee Kikwete Mwenyewe?
Nimefurahishwa sana na muonekano wake na hasa kwa kitendo cha mechi kuchezwa usiku, nampongeza aliyejenga uwanja huu.
kuuliza si ujingaInaonekana wewe si mfuatiliaji wa masuala ya soka nchi hii. Kidongo chekundu mbona panatajwa kila siku. Dah