Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 648
- 384
Tunapenda magari yenye kila kitu cha kubofya tu... hakuna kuzungusha handle kushusha dirisha nk
...ni kweli yana raha zake. Na sasa wanakazana yajiendeshe yenyewe sisi tuwe abiria, yapo tayari. Kisha watatuletea ya kupaa...
maendeleo yalianza na magari kuwa na computer chip... mafundi na magwiji wa magari mmeona vile sasa kurepair gari la aina izo likiharibika kunahitaji mambo mengi pamoja na kuunganisha computer za diagnosis nk. Sasa vingine ndo hizo computer zinazidi kunenepa na kutumia AI utafikiri tumekuwa wavivu wa hata kuendesha na kukata usukani. Na sasa wanatukimbiza tutumie magari ya umeme...
Je unatambua tunakoelekea na hizi teknolojia? Ni rahisi mtu nje ya gari lako kulitawala hata kuliendesha akiwa na computer husika... Ni rahisi mtu kukukatia umeme hadi gari lako la umeme lisimame katikati ya barabara ukiwa safarini... Ni rahisi kukufungia ndani ya gari lako, na kama ushaona sinema = gari linatekwa kidijitali ama computer inacharuka na gari lako mwenyewe linaenda mrama labda hata kukuua... NA WAKATI YOTE HAYO YANAKUSUMBUA, MZEE HAMISI ULIYEMUONA AKITENGENEZA PIJO YAKE 504 MWENYEWE KIRAHISI BILA KOMPYUTA ANAKUPITA BARABARA MDOMDO BILA SHIDA ZAKO WAKATI WEWE UNAFOKEANA NA SIRI WA IFONI AMA JINI AI NDANI YA GARI LAKO
Kuna maendeleo afu kuna mitego... Ukijua NEW WORLD ORDER - ndoto ya mzungu shetani ni ipi, then utatambua anataka atawale kila sehemu ya maisha yetu... yaani atawale benki zetu, majumba yetu, magari yetu, vyakula vyetu... nk
benki kakupa kadi = anaweza kuzuia hela zako mwenyewe usizitoe
majumba = anakwambia smart house piga makofi taa zawaka, ama usitumie bulb izi tumia zile nk
magari - ndo kama nilivojadili apo juu - anakufungia ndani ya gari lako, analipindua... baadae ooh ilikuwa ajali...
vyakula - NGO inakulazimisha kupanda vyakula visivotoa mbegu mwishowe atawale upataje mbegu za kulima chakula, ama katia sumu zake BIO ENGINEERED food, we unafurahi nyanya kubwa kuliko kichwa cha mtoto lakini linyanya hilo lina masumu tosha - kesho unamlipa hela kutibu saratani nk
TUANZE KUSANUKA NA KURUDI ZAMA...