Kweli kaka. Dini ni eneo lilioathiriwa sana na maendeleo ya Sci & Tech. Kadi S & T inavyozidi kutoa majibu ya matatizo ya mwanadamu, dini inapoteza umuhimu (becomes irrelevant) sababu kuu dini zimejengwa kwa misingi ya imani na sio logic. Mfn, ukisoma Historia ya magonjwa, wakati imetokea Black death, Catholic iliwatuhumu wayahudi kuwa ndio chanzo sbb hawafi sana, kupambana na ugonjwa wakawasisitiza waumini wao wakusanyike makanisani kusali. Lakini ukweli ni kuwa wayahudi sbb walikuwa wametengwa (Lockdown) ndio maana hawakupata maambukizi sana, ila wakatoliki sbb walikuwa wakikusanyika walikufa sana. Leo 700+ yrs later, imetokea Covid kanisa limefungwa, hakuna mikusanyiko na wanawasii waumini kufuata kanuni za afya (sayansi). So, miaka kadhaa ijayo dini itabidi zibadilike kuitii sayansi.