Hata kuwafundisha watoto table manners hatuwezi baba anakula chakula akiwa kwenye sofa anaangalia Man United inacheza.Siku hizi hata kula pamoja nyumbani hakuna.Huyu kaenda kuangalia mpira,huyu anaCHAT jikoni mwingine anacheza GAME chumbani. Chakula kipo kwenye hotpot kikipoa mtu anapasha kwa MICROWAVE.
Kuliko uombe ruhusa kazini, utafute nauli, nguo za kuvaa. Ni kheri kuwarushia maharusi muwamala uwasaidie kwenye maisha mapya. Na picha za harusi utaziona Instagram.Hili neno: "Huko tuendako itafikia wakati unafunga ndoa ukiwa na mashahidi wenu tu na baada ya hapo mnakwenda kupata chakula nyumbani au hotelini. Muda wa kualikana kwenye sherehe hautakuwepo" lishatimia.
Kifuatacho ni kuongezeka kwa watu wanaofanya hivi!
Utaomba vipi moto kwa jirani wakati anapikia gesi na jiko lina kibiriti humo humo.Zamani watoto wa mji ule na mji ule kufika kwa jirani na wakapewa chakula viziri ilikuwa kawaida, Kuazima chumvi, Mboga, moto, na kuwakimbilia majirani zako kwa lolote mda wowote, sasa hivi unaweza fia kwa dirisha au mlango wa jirani na asijali wala kukusaidia.... Miaka inaenda kasi sana
Kuliko uombe ruhusa kazini, utafute nauli, nguo za kuvaa. Ni kheri kuwarushia maharusi muwamala uwasaidie kwenye maisha mapya.
Kweli kaka. Dini ni eneo lilioathiriwa sana na maendeleo ya Sci & Tech. Kadi S & T inavyozidi kutoa majibu ya matatizo ya mwanadamu, dini inapoteza umuhimu (becomes irrelevant) sababu kuu dini zimejengwa kwa misingi ya imani na sio logic.Idadi kubwa ya watu pia wanazidi kudharau uchawi na kupuuza mambo mengi ya dini yanayoonekana kutokwenda na wakati.
Ninadhani contradiction kubwa hapa ni huma rights. Kama kanisa lingesisitiza watu wakeshe makanisani na kusali, kuna wahanga wa COVID wangeweza kuliburuza kanisa mahakamani.Kweli kaka. Dini ni eneo lilioathiriwa sana na maendeleo ya Sci & Tech. Kadi S & T inavyozidi kutoa majibu ya matatizo ya mwanadamu, dini inapoteza umuhimu (becomes irrelevant) sababu kuu dini zimejengwa kwa misingi ya imani na sio logic. Mfn, ukisoma Historia ya magonjwa, wakati imetokea Black death, Catholic iliwatuhumu wayahudi kuwa ndio chanzo sbb hawafi sana, kupambana na ugonjwa wakawasisitiza waumini wao wakusanyike makanisani kusali. Lakini ukweli ni kuwa wayahudi sbb walikuwa wametengwa (Lockdown) ndio maana hawakupata maambukizi sana, ila wakatoliki sbb walikuwa wakikusanyika walikufa sana. Leo 700+ yrs later, imetokea Covid kanisa limefungwa, hakuna mikusanyiko na wanawasii waumini kufuata kanuni za afya (sayansi). So, miaka kadhaa ijayo dini itabidi zibadilike kuitii sayansi.
Nadhani jambo la kwanza ni utambuzi wa kanuni za afya. Huwezi kudai kitu ambacho hukijui. Ukweli ni kuwa hadi leo dini zote zingependa watu wake waenende kikondoo, lakini ni ngumu katika mazingira ambayo watu hao wameelimika (sayansi) na pili, wanajua haki zao na tatu wazidai vipi.Ninadhani contradiction kubwa hapa ni huma rights. Kama kanisa lingesisitiza watu wakeshe makanisani na kusali, kuna wahanga wa COVID wangeweza kuliburuza kanisa mahakamani.
Siku hizi watu wanajua kanuni zote za human rights kwa msaada wa google engine.
Kuna mchungaji kutoka Nigeria alifika Ulaya na kuanza kuombea watu. Alisema anao uwezo wa kuikemea saratani na ikaondoka.Nadhani jambo la kwanza ni utambuzi wa kanuni za afya. Huwezi kudai kitu ambacho hukijui. Ukweli ni kuwa hadi leo dini zote zingependa watu wake waenende kikondoo, lakini ni ngumu katika mazingira ambayo watu hao wameelimika (sayansi) na pili, wanajua haki zao na tatu wazidai vipi.
Siku hizi huwezi kuchomoa noti ya 10,000 kwenye wallet ya baba chanja akiwa ana oga. Hela iko bank na kwenye M-pesa. Ukitaka hela ya vitunguu anakurushia.Tunachokitafuta tutakipata muda si mrefu! Tecnolojia itakuja kutuangamiza
Siku akiblock laini yake bahati mbaya mida ya jioni mtalala njaaSiku hizi huwezi kuchomoa moto ya 10,000 kwenye wallet ya baba chanja akiwa ana oga. Hela iko bank na kwenye M-pesa. Ukitaka hela ya vitunguu anakurushia.
Safi.Kuna mchungaji kutoka Nigeria alifika Ulaya na kuanza kuombea watu. Alisema anao uwezo wa kuikemea saratani na ikaondoka.
Wazungu walimburuza mahakamani atoe ushahidi, hakua nao basi alilipa fidia kwa kuudhihaki ugonjwa wa saratani. Ile pesa ilikwenda kwenye cancer research charity.
Teknolojia imeyaboresha sana maisha ya mwanadamu. Hii haimaanishi kuwa haina mapungufu.Tunachokitafuta tutakipata muda si mrefu! Tecnolojia itakuja kutuangamiza