SoC04 Maendeleo ya Tanzania sekta ya ujenzi na makazi (miaka 5- 15)

SoC04 Maendeleo ya Tanzania sekta ya ujenzi na makazi (miaka 5- 15)

Tanzania Tuitakayo competition threads

Difrey

New Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Makazi ni mahitaji ya binadamu kwa lengo la kukizi huduma za maisha. Maisha ni hali au uwezo wa kuishi kwa kuzingatia kula mlo kamili wenye virutubisho.

Tanzania inakumbana na changamoto nyingi kama vile watoto wa mtaani , wezi ni kwa sababu ya marafiki au malezi ya wazazi.

Kero kubwa ikiwa ni makazi. Familia ya watoto wengi hali ya kuwa hakuna kipato cha kujitosheleza (hajaelimika juu ya uzazi wa mpango )kwa ushauri serikali yetu ya muungano wa tanganyika na zanzibar zitoe Elimu bora kwa wazazi ambao wao ndio kioo cha watoto wa mtaani.

Elimu ya uzazi wa mpango ili kuzuia matatizo yanayopelekea teknolojia yetu kwenda taratibu kama serikali itasimama imara ,pamoja na jamii kutoa elimu ndani ya miaka mitano kutakuwa na maendeleo na miundombonu katika taifa letu Tanzania.

Tanzania karne ya miaka 100 (karne) iliyopita hakukuwa na kasi ya maendeleo ya sayansi na teknolojia. Wazee wengi walitumia sayansi (elimu dunia). Lakini pia waliweza kwa kiasi kikubwa kuzuia ongezeko la watoto wa mtaani.

Kwa sababu kipindi hiko cha miaka 100 (karne). Watoto walikuwa wakisoma na kushindwa kuendelea ni kwasababu wazee hawakuamini katika elimu kwa upana lakini pia walijitahidi kuwapa mahitaji watoto wao katika maisha kwa kuwapa ardhi ,mifugo kwa lengo la kujikimu kimaisha na kujenga makazi .

Lakini kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na sababu nyingi ambazo hufanya watanzania wengi kushindwa katika ujenzi na makazi na kuhatarisha makazi. Vijana wengi wamekuwa sio tena nguvu kazi ya taifa kwa kujiingiza katika mambo yasiyo ya msingi kama vile ulevi, bangi, dawa za kulevya na ngono zembe ambavyo kwa ujumla hupelekea mawazo na kushindwa kufanya jambo la msinhi kwa wakati sahihi na wengineo kupoteza kabisa kumbukumbu za kutambua kuwa mimi ni kijana na ni nguvu kubwa kwa taifa letu.

Serikali ingeweka nguvu kupunguza vijana wa vijiweni ,wasio na kazi kwa kuwapa elimu juu ya biashara na mtaji endapo watashindwa serikali inabidi kuwakamata kwa lengo la adhabu ya kujifunza ili kuwa nguvu kazi ya taifa .

Inatupasa kujenga taifa letu kwa sababu nyingi za kimaendeleo na kufanya mpango wa makazi katika mikakati ya serikali kwa lengo la kupunguza waathiriwa wa maafuriko mfano : Jangwani jijini Dar es salaamu.Makazi bora ,maisha bora ,Elimu bora kwa kuelimika, Tuelimike!

Kwa mfano wa hivi karibuni kwenye ujenzi wa (SGR) Wafanyakazi wamegoma kufanya kazi ni kwa sababu ya stahiki zao za NSSF bila kutaka maelezo. Hii inamaanisha tunashindwa kufuata maendeleo kwa kukwamisha nguvu kazi.

Ikiwemo ni daraja la mafanikio linaanza na jitihada zako ili kuweza kufikia mabadiliko katika nyanja mbalimbali katika taifa. Haya yote ni juu ya uongozi kutokuwa mkini katika shughuli za maendeleo bila kujali maslahi mapana ya wafanyakazi juu ya familia zao.

Ujenzi na makazi huchochea mabadiliko ya mtu binafsi pamoja na Tanzania kwa kuzingatia yote inabidi kuwaelimisha wasioelimika juu ya makazi bora na kuwapa msaada wazee wasiojiweza kwa kuwajengea nyumba imara .

“Elimika tuwaelimishe wasioelimika kwa kila mtanzania”
Ujenzi wa taasisi ya miradi kwa ajili ya kuunga mkono wa sekta binafsi .Hii itasaidia katika mambo ya ndani na nje ya nchi kwa ushirikiano wa Serikali na mashirika ya nje kama vile ujenzi wa viwanja vya mpira kwa lengo la mashindano ya kibiashara na masoko ndani na nje ya tanzania

Makazi bora kwa wenye uhitaji(vipofu ,Vilema wa kuzaliwa,wagonjwa ) kwa kuongeza idadi ya vitanda na kuondoa gharama kwenye sekta ya afya. Kwa miaka kumi na mitano(15) mbele iwe matumizi ya afya ni bure kwa kila mtanzania. Hii itasidia kwa kiwango kikubwa kupunguza namba ya watoto kufa wakati wa kuzaliwa .

Makazi ya kudumu kwa kila mtanzania. Hii itarahisisha kujua anwank ya kila mtsnzania kwa urahisi wakati wa kutafuta mapato kwa lengo la serikali kukuaanya kodi kwa maendeleo endelevu ndani ya Tanzania .

Ujenzi wa SGR imekuwa na sababu nyingi kama vile kukua kwa uchumi wa taifa na kuongeza chanzo cha mapato kwa ajili ya Taifa.

Ujenzi wa miundombinu ya barabara Ningeishauri serikali juu ya kukata kodi kwenye kila mtandao wa simu kwa lengo la maendeleo ya taofa katika sekta ya usafirishaji ili kurahisisha huduma kwa wahitaji.

Ujenzi wa Alama za barabaraa kwenye kila sehemu ambayo huduma zote kama vile sekta za kijamiii zinafanyika mfano sekta ya elimu inatakiwa kuwepo kwa Tuta kwa lengo la kuzuia Ajali na Vifo vya watoto . Ujenzi bora elimu bora.
 

Attachments

  • 806B562B-AE3E-48B5-8A25-1FDD40048ACA.jpeg
    806B562B-AE3E-48B5-8A25-1FDD40048ACA.jpeg
    184.9 KB · Views: 9
Upvote 0
Ujenzi na makazi huchochea mabadiliko ya mtu binafsi pamoja na Tanzania kwa kuzingatia yote inabidi kuwaelimisha wasioelimika juu ya makazi bora na kuwapa msaada wazee wasiojiweza kwa kuwajengea nyumba imara .

“Elimika tuwaelimishe wasioelimika kwa kila mtanzania”
Makazi bora

Nyumba za kupangisha ziwe na kiwangi cha ubora kuzingatia na uwiano wa miundombinu iliyopo. Madirisha, vyoo etc.
Na hata fremu za maduka ziwe na viwango madirisha na hewa
 
Back
Top Bottom