Maendeleo ya Ujenzi wa SGR Dar - Moro wafikia asilimia 77

Natumaini ukipost taarifa tena kuhusu mradi iwe 90% +, tumechoka na 70% + yaani kabla hata ya Corona bado 70%
 
Ila huu mradi ukiisha na kufanikiwa itakuwa si mchz
Gairo-dar,

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tungependa iwe hivyo lakini mbona mwendokasi usafiri umedolola kisa mabasi haba.
Subiri uone utendaji kazi,sisi ni mashahidi wa mwendokasi ilivyovurugwa kwa sababu za kitoto na majivuno.Ni mwaka wa nne tunajutia mradi huo.
Kujenga mbali,utendaji wa usafirishaji wa abiria kitu kingine.
 
Hakuubuni huu mradi. Tusianze kusahaulishana mara moja hii.

Ajitahidi tu kusimamia ujenzi uende vizuri, atasifiwa kwa hilo akilifanikisha.
Kumbuka serikali ya Ccm imepokezana vijiti tokea tumepata uhuru. Suala la kuubuni isiwe ishu. Hata JNHPP ulibuniwa wakati wa mwalimu na amekuja kutekeleza JPM.
 
Mkuu tungependa iwe hivyo lakini mbona mwendokasi usafiri umedolola kisa mabasi haba.
Subiri uone utendaji kazi,sisi ni mashahidi wa mwendokasi ilivyovurugwa kwa sababu za kitoto na majivuno.Ni mwaka wa nne tunajutia mradi huo.
Kujenga mbali,utendaji wa usafirishaji wa abiria kitu kingine.
Dua dua mzee wabongo ndiyo hapo kwenye kuendesha na kusimamia.....
Mradi umewekwa waendeshaji ndy longo longo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dua dua mzee wabongo ndiyo hapo kwenye kuendesha na kusimamia.....
Mradi umewekwa waendeshaji ndy longo longo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina imani ya ujenzi wa miradi hii lakini ninasita kabisa kuhusu utendaji baada ya kukamilika ujenzi.
Mradi wa mwendokasi wa mabasi labda inahitaji mabasi imara na mengi ya kutosha,lakini kwa kuwa kuna mkono wa serikali umepuuzwa kwa sababu hao vigogo hawapandi hayo mabasi.Ni propaganda tu kwenda mbele.
 
Tatizo sisi wenyewe Kuanzia Hao wanaoteuliwa kusimamia mradi mpk watendaji

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom