Maendeleo ya Ujenzi wa SGR Dar - Moro wafikia asilimia 77

Maendeleo ya Ujenzi wa SGR Dar - Moro wafikia asilimia 77

Daima mbele kurudi nyuma mwiko. Weka huo uzi hapa as your evidence!

****Kelele za chura ……….!!!

Naona fahari mie kuwa 'site muhandisi' kwenye huu mradi.

Kelele za chura halafu unazijibu....

See the irony?
 
Mradi ukiisha mi nimewahi mapema siti ya nyuma ya dereva upande wa dirisha
 
Hakuubuni huu mradi. Tusianze kusahaulishana mara moja hii.

Ajitahidi tu kusimamia ujenzi uende vizuri, atasifiwa kwa hilo akilifanikisha.
Basi kabuni dj zero mkuu.
 
Imalizieni tuwasifu sio tokea mwaka juzi ni asilimia 75 tu haziishi?
Ndio Dar Moro tu
Hata mimi nashangaa tangu mwaka juzi walisema kipande cha Dar-Moro kinakaribia kukamilika na wakasema wanaagiza vichwa vya train kwa ajili ya kutestia.

Sasa hadi leo haifiki asilimia 100 tu.
Ama kweli wanasiasa sio watu wa kuwaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dar, Pwani & Moro tangu Oktoba 2019 hadi sasa mvua zinanyesha mfululizo. Labda huko uliko ni kiangazi tangu wakati huo!

Kama mvua zinazuia ujenzi, ina maana hakuna mvua iliyonyesha kuanzia siku ujenzi unaanza mwaka 2016 hadi October 2019? Huko mwanzoni walikuwa wanajengaje Hadi leo washindwe kwa sababu ya mvua?
 
Watanzania wanalipa kodi wana haki ya kujua na kufuatilia matumizi ya kodi, wakihoji miradi ya maendeleo wanaitwa CHADEMA. AHAHAHAHAHAHAAAAAAAA
 
Chadema watakuja kupinga, utadhani wao wanaishi nje ya nchi.
Cc: Bia yetu , Magonjwa Mtambuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Burigi moja
IMG_20200511_224020.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom