Maendeleo ya Ujenzi wa SGR Dar - Moro wafikia asilimia 77

mwendokasi kasi ni wa awamu ya kikwete.utawala wa kikwete miradi mingi iliingiwa kihuni sana.
huyu wa sasa ni magufuli a.k.a chuma.
ila yote kwa yote tuombe mungu mambo yaende sawa kwa sababu wapigajj na waharibifu wa miradi ya serikali bado wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara za zege tena imara za mwendokasi iliojengwa na kampuni ya Kijerumani .Shida hakuna mabasi ya kutosha.watu wamepiga kelele lakini masikio wameziba.Utendaji au uendeshaji wa mradi huo una walakini.Kikwete alijenga miundo mbinu ya mwendokasi ndio kazi kubwa sasa ubia huu wa matolori ya kichina ni mfu kwa sasa.Matoroli yaani mabasi ni haba.Hata mimi mtu wa kawaida nikipewa RUKSA naweza nikaendesha huo mradi.
 
mkuu mi nakubaliana na wewe shida ni ubia na ubia uliingiwa wakati wa utawala wa kikwete.kuna mambo ya hovyo kabisa yalikuwa yanafanyika.
unaona mambo hayakai sawa kwenye mwendo kasi sababu ni mikataba iliyosainiwa wakati wa kikwete.
embu fatilia mgogori wa udarts na maxmalipo pamoja na serikali utapata mwanga.kuna wakati udarts waliishtaki serikali sababu ni mikataba ya kihuni.

kikubwa tuombe mungu amzidishie magu umakini ili sgr mambo yawe safi.
mm natamani niishi moro lkn shughuli zangu zibaki dar.
treni ya umeme itatimiza ndoto yangu asubuhi na mapema nipo dar jioni nalala moro

Mimi nafikiri muarobaini wa mikataba mbovu ni kuweka utaratibu wa tenda wazi na yaliyomo yakawekwa wazi kwa umma.
Lakini kama barabara hadi Depot ya mabasi ni ya serikali kwanini.serikali isilete magari yake na kuondoa hivyo vibelenge vya kichina?
Mbona huku nyuma serikali imefirisi au kutaifisha mali za makampuni?
Kwanini kunakuwa na kigugumizi kwa miaka 5?Au ndani ya serikali hii kuna wanaofaidika na mkataba huu?
 
ndo maana nikakwambia fatilia kiina cha huu mzozo wa udarts na serikali
udarts inamabasi 70 yenye uwezo wa kubeba abiria 100 kwa kila basi yamekwama bandarini.
ni uhuni mkubwa ulifanyika kwenye mikataba kiasi kwamba huwezi badili mambo kama unavyofikiria wewe.

mkuu wamkoa kachemka,waziri jafo wa tamisemi kachemka,waziri wa mambo ya ndani rugola kachemka,waziri wa uchukuzi kachemka.sio vyepesi kama unavyofikiri wewe

Sasa hata hii Corona kwanini hawakuyaruhusu kwa amri ya dharura?
Lo Bongo kweli tuna safari ndefu.
 
ndo maana nikakwambia fatilia kiina cha huu mzozo wa udarts na serikali
udarts inamabasi 70 yenye uwezo wa kubeba abiria 100 kwa kila basi yamekwama bandarini.
ni uhuni mkubwa ulifanyika kwenye mikataba kiasi kwamba huwezi badili mambo kama unavyofikiria wewe.

mkuu wamkoa kachemka,waziri jafo wa tamisemi kachemka,waziri wa mambo ya ndani rugola kachemka,waziri wa uchukuzi kachemka.sio vyepesi kama unavyofikiri wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka yaoze yard labda huu mwaka wa tatu Sasa kuna gari kweli bado pale na chumvi la dar si yatauzwa screpa chuma chakavu
 
yap ni mkwamo mkubwa sana huu mradi umekuta nao.kesi zipo mahakamani.

mimi kama ningekuwa ni uwezo wangu ningewaweka ndani kwa ninavyojua mimi wahusika woote ili kuwaondolea hadha wakazi wengi wa dar kuhusu usafiri.

nimpe muwekezaji mwengine huu mradi ausimamie.
huu mradi mtu kama mo,bakhresa na wengineo hawawezi shindwa mradi mdogo kama huu.lakini mikataba isiwe ya kihuni na iwe ya wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mvua zinazuia ujenzi, ina maana hakuna mvua iliyonyesha kuanzia siku ujenzi unaanza mwaka 2016 hadi October 2019? Huko mwanzoni walikuwa wanajengaje Hadi leo washindwe kwa sababu ya mvua?
Eti ujenzi ulianza mwaka 2016. Mnapotosha kila kitu!
Badilisha jina ujiite 'Mfiauongo'.
 
Dar - Moro = 190Km
Design speed = 160Km/h
Fanya calculation mwenyewe ila usisahau kuweka allowance ya muda itakaosimama kwenye stesheni za Pugu, Soga, Ruvu na Ngerengere.

Itakuwa inachukua saa 1 na dakika 40 hivi kama unaweka dakika 5 za kusimama/kupunguza/kuongeza speed. Kwa kawaida ambako nimetumia treni za mwendo huu kwa wastani husimama kwa dakika moja tu kwenye vituo.
 
Halafu hawasemi hata hiyo asilimia 30 iliyobaki inahusu kazi zipi!

Kuna sehemu mbili moja ya kuchoronga mlima na nyingine madaraja soma post za nyuma maendeleo ya mradi huu.
 
Itakuwa inachukua saa 1 na dakika 40 hivi kama unaweka dakika 5 za kusimama/kupunguza/kuongeza speed. Kwa kawaida ambako nimetumia treni za mwendo huu kwa wastani husimama kwa dakika moja tu kwenye vituo.
Uko sahihi mkuu.
 
Back
Top Bottom