Maendeleo ya Ujenzi wa SGR Dar - Moro wafikia asilimia 77

Nimeandika hivi "Malizieni huo ujenzi ili tuwasifu na sio kila mara mnasema ni asilimia 75 ambazo tangu mwaka juzi mlikuwa mkisema asilimia ni hizo hizo"
Umeandika kama mwanajamii Kinzani. Duniani jamii Kinzani namba moja ni wachawi aka watu wabaya ambao kibongo tunawaita wachawi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeandika hivi "Malizieni huo ujenzi ili tuwasifu na sio kila mara mnasema ni asilimia 75 ambazo tangu mwaka juzi mlikuwa mkisema asilimia ni hizo hizo"

Na wewe wacha majungu na propaganda, kila kitu huwa kinaanza na moja huwezi kupata asilimia 100 kwa mara moja.
 
Utopolo mtupu hakuna cha 77% wala 50% kwa kuwa Jiwe hana planning skills kwenye akili yake. Kwenye Project planning and management kuna kitu kinaitwa CPA (Critical Path Analysis). Hii ni chart hukuonyesha activities unazotaka kufanya, muda wa kufanya na sequence (mlolongo). Hukuonyesha vilevile ipi haiwezi kufanyika bila nyingine na muda ambao hauna activity. Jiwe ameamua kupuyanga miradi mikubwa yote aliyoisikia wakati wa JK kwa wakati mmoja. Yaani ATCL, SGR, Barabara 6 za Kimara -Kibamba, Ubungo Exchange. Halafu akaongeza na miradi ambayo haikuwa kwenye plan kama Kigongo- Busisi, Airport Chato, na Stiglers Gorge. Bahati mbaya hakulinganisha na financial rsoources alizonanzo kitu kinachopelekea kukopa kila kukicha kwenye mabenki ya kimataifa.

Halafu hajui ku manage RISK. Kwa mfano baada ya Corona kutokea uchumi wa Tz utatelemka, chumi za nchi zingine nazo zitateremka, mamiradi yatabakia hivyo hivyo kama tunavyona sasa pale Gerezani hakuna kinachoendelea, Kimara - Kibamba kuko kimya wakati nyumba za watu zimebololewa kupisha ujenzi na ujenzi hauendelei.
 
Umejitahidi lakini hujajibu hoja yangu. Unahadithia kile ulichoambiwa na mwalimu wako na kwamba umesomea Project management etc, who cares? Mkuu njaa inakusumbua nini, Would you like me to consider you for a position? I wouldn't kwa sababu umeonyesha ujinga wako. FYI hakuna hata project moja iliyosimamama vile vile masika ndo inaisha njoo July kupanda treni Dar-Moro. Then very soon our trips to China and UK will start with the wings of kilimanjaro.
 
Watanzania wa ajabu sana,habari kama hii chadema na ccm zinahusika na nini? Yani muda wote ni kuwaza siasa tu.
 
Hata mimi nashangaa tangu mwaka juzi walisema kipande cha Dar-Moro kinakaribia kukamilika na wakasema wanaagiza vichwa vya train kwa ajili ya kutestia.
Sasa hadi leo haifiki asilimia 100 tu.
Ama kweli wanasiasa sio watu wa kuwaamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walisema wangefanya majaribio ya treni Dar - Moro by November 2019. Imebakia story tu
 
Umejitahidi lakini hujajibu hoja yangu. Unahadithia kile ulichoambiwa na mwalimu wako na kwamba umesomea Project management etc, who cares? Mkuu njaa inakusumbua nini, Would you like me to consider you for a position? I wouldn't kwa sababu umeonyesha ujinga wako. FYI hakuna hata project moja iliyosimamama vile vile masika ndo inaisha njoo July kupanda treni Dar-Moro. Then very soon our trips to China and UK will start with the wings of kilimanjaro.
UTOPOLO MTUPU
 
Mkuu tungependa iwe hivyo lakini mbona mwendokasi usafiri umedolola kisa mabasi haba.
Subiri uone utendaji kazi,sisi ni mashahidi wa mwendokasi ilivyovurugwa kwa sababu za kitoto na majivuno.Ni mwaka wa nne tunajutia mradi huo.
Kujenga mbali,utendaji wa usafirishaji wa abiria kitu kingine.
mwendokasi kasi ni wa awamu ya kikwete.utawala wa kikwete miradi mingi iliingiwa kihuni sana.
huyu wa sasa ni magufuli a.k.a chuma.

ila yote kwa yote tuombe mungu mambo yaende sawa kwa sababu wapigajj na waharibifu wa miradi ya serikali bado wapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom