Maendeleo ya Ujenzi wa SGR Dar - Moro wafikia asilimia 77

Maendeleo ya Ujenzi wa SGR Dar - Moro wafikia asilimia 77

Hata mie nimeshangaa huo mradi toka umefika asilimia 70 huwa hauendelei tena ama?

Maana kila ripoti ni 70+
Kuna zile tunnel ni asilimia kama 18 hivi japokuwa ni sehemu ndogo, ila kazi ni kubwa mno na inhitaji umakini wa hali ya juu. Na mvua hizi tangu mwaka jana - umakini unahitajika sana.

Pindi wakimaliza hizo tunnels asilimia itaruka mpaka 90 na kitu!
 
Ninaona fahari kuwa miongoni mwa 'site engineers' kwenye huu mradi uliotukuka!
***Kelele za chura ………..!!!

Site Engineer ni foot soldier, do not know squat!

Mlileta uzi humu zamani kidogo mna claim ni 88%!

Leo mmeshusha mpaka 77%

Kesho mtashuka mpaka 66%!

You guys are bipolar fa’real!

Serikali ongo,mafanyakazi yake maongo,mashabiki yake maongo,shame on these people!
 
Inasemekana hz ndizo treni zitakazo piga mzigo juu ya hiyo reli, ni treni za Bombardier pia zina mfumo wa kutumia betri so hakuna kucmama kwasabu ya tatizo la umeme [emoji116][emoji116]
tapatalk_1589457398599.jpeg
 
Site Engineer ni foot soldier,do not know squat!

Mlileta uzi humu zamani kidogo mna claim ni 88%!

Leo mmeshusha mpaka 77%

Kesho mtashuka mpaka 66%!

You guys are bipolar fa’real!

Serikali ongo,mafanyakazi yake maongo,mashabiki yake maongo,shame on these people!
Daima mbele kurudi nyuma mwiko. Weka huo uzi hapa as your evidence!

****Kelele za chura ……….!!!

Naona fahari mie kuwa 'site muhandisi' kwenye huu mradi.
 
Kuna zile tunnel ni asilimia kama 18 hivi japokuwa ni sehemu ndogo, ila kazi ni kubwa mno na inhitaji umakini wa hali ya juu. Na mvua hizi tangu mwaka jana - umakini unahitajika sana.
Pindi wakimaliza hizo tunnels asilimia itaruka mpaka 90 na kitu!
Tunnels ziko Lot 2 [Morogoro - Makutopola], wao progress ni zaidi ya 30%.

Lot 1 [Dsm - Moro] progress ni 77%
 
Kumbuka serikali ya Ccm imepokezana vijiti tokea tumepata uhuru. Suala la kuubuni isiwe ishu. Hata JNHPP ulibuniwa wakati wa mwalimu na amekuja kutekeleza JPM.
Kama swala la kubuni sio ishu, vilevile swala la utekelezaji sio ishue - ni mantiki tu inahitaji kuzingatiwa.
 
vyovyote vile wajitahidi wamalize haraka hela zetu zinatuuma bora zingekuwa za mzungu!
 
Hakika.
Tena nakushauri ujenge palipo na main stations; Pugu (km 20), Soga (km 51), Ruvu (km 75), Ngerengere (km 134) au Morogoro (km 192).
Yes mkuu Morogoro patafaa...kuna mtu kashajenga hapa hapa wanapojenga hii reli(moro)..wale waturuki ndo wanalala hapa huyu soon atatusua vbya sana! Aliwaza mbali...amejenga classic one
 
Tunataka hizi updates kila mwezi ili tuone raha kuona jinsi pesa yetu ya kodi inavyotumika.
 
Site Engineer ni foot soldier,do not know squat!

Mlileta uzi humu zamani kidogo mna claim ni 88%!

Leo mmeshusha mpaka 77%

Kesho mtashuka mpaka 66%!

You guys are bipolar fa’real!

Serikali ongo,mafanyakazi yake maongo,mashabiki yake maongo,shame on these people!
Aroo!....... wewe ni rimoja kati ya ware wanaosema-"kura tumekura afwandi, pa kurara je"
 
Back
Top Bottom