Uchaguzi 2020 Maendeleo yapi CHADEMA wataleta tofauti na ya chama kilichopo madarakani?

Maendeleo gani ya nchi wataleta ikiwa tu chama kina miaka 28 mpaka leo hakina hata jengo bado kimepanga japo wanapata 32m kwa mwezi za ruzuku ukiacha 1m kwa wabunge wake wote 70
Ndugu naomba tuanzie hapohapo.
Hebu tutajie jengo moja tu lililojengwa na CCM, kwa hela zao, PAMOJA na kuwa ruzuku yao kwa kipindi chote cha vyama imekuwa kubwa kwa zaidi ya mara tano ile ya CHADEMA.
 
Mjinga ana nafasi ya kubadirika lakini siyo mpumbavu.
Haki inadaiwa haikabidhiwi tu kama kuku wa kiweo
Kudai haki ni lazima kuwe na kiongozi.

Toka enzi za Musa, toroti,hakuna ukombozi pasipo damu.

Yeyote aliyekamatwa na shetani kwa kutenda dhambi,ili dhambi zake zifutwe mbele za Mungu aliagizwa na maandiko kuchinja mnyama(kuua au kumwaga damu)

Imeenda hivyo mpk zama za Nabii Issa alipouawa ili damu ifanye ukombozi wa ulimwengu.

Hivyo hata nyakati hizi ili kujikomboa kutoka kwa zimwi ccm hakuna njia nyingine ila ni hiyo,tofauti na hapo basi tukubali tu kunyonywa damu kwa lazima.
 
Ingawa sijasoma makala yako yote ila mimi kuna machache ambayo naona huyu Bwana ameyaleta wala hayachangii lolote katika kuimarisha nchi kwahio yoyote ambaye hatafanya hao itakuwa ni hatua kubwa
  1. Uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa watu kusema /kupinga bila kuzibwa midomo au kuitwa wasaliti
  2. Separation of power na Transparency ya kujua ni nini kimefanyika na wapi na watu kuweza kuchunguza au ku-critice serikali inayoyafanya bila kuitwa kibaraka wala beberu
  3. Miradi kupangwa kwa njia sahihi na kwa kufanya due-diligence sio kuamua tu kwamba hiki kifanyike hapa au pale..., au wale walinipa kura basi wapelekee hiki....
 
Ndugu yangu,
Wanaotia kinyaa zaidi ni huyo aliekulisha ujinga huo na wewe uliyeupokea mzimamzima bila hata ya kujaribu ku google.
Pili swala sio kushangilia kugawiwa 'vihela' , hebu omba nakala ya mikataba hiyo na Barick iliyosainiwa hivi karibuni uone kitu gani halisi kilichomo ndani yake.
 
AMEEEEEEN
 
Mkuu usinukuu Mandiko kijinga kiasi hicho, Ishara ya Damu katika Agano la kale ni ishara ya Damu ya Yesu Msalabani na ndio ishara ya ukamilifu wa wokovu,

Ni kweli enzi hizo ilikuwa ni kawaida damu kutumika Ili kuwepo na patano Fulani na Mungu, laiini baada ya kifo cha Yesu Msalabani hakuna tena damu nyingine itakayosababisha upatanisho na Mungu ispokuwa damu hiyo pekee ya Yesu,.

Sasa wewe unachokinukuu ni kinyume na ki dhambi, kufanya mapinduzi ya kumwaga damu haimfanyi Mungu eti akusamehe Kwa kuwa unapigania haki yako

Yeye asaema, atakomesha kabisa mapigano na atawatetea walioonewa, ni Yeye na sio kisasi chako wewe,

Na hata hivyo, insonyesha wewe ni mvivu na mtu uliyezoea vya bule kwani ninauhakika hata akiingia huyo unayetaka kutuaminisha, mambo yako yatakuwa ni yako na Yeye atashighurikia ya kitaifa

Fanya kazi wewe usibweteke, hakuna cha bule, na uhakika ni kwamba, huyo hawezi kushinda ng'o na Kura ni za halali, jiandae kwendelea kulialia

Wewe ni mpumbavu na mjinga uliyejifichia
 
Mabadiliko yatakuwepo ndiyo...

Mwinyi kaongoza kivyake, Mkapa akaongoza kivyake, Jakaya ameongoza kivyake, Magu nae anaongoza kivyake...

Hata wapinzani nao watakuja kuongoza kivyao...



Cc: mahondaw
 
Nakuhurumia Sana mzee baba hivyo ndio wanasiasa walivyokudanganya Kama alisema Lowassa Ni fisadi baadae akageuza gia angani akamwita msafi unaamini vip hivyo vitu vilivyoandikwa kwenye ilani atavitekeleza?
Ubwabwa wa kushiba unaonekana kwenye sahani ,Lissu alianza kutetea watu na kupigania maslahi yao tangu hajaingia bungeni ,alivyoingia akazidi kuwapigani watu,kwahiyo akipata urais ni obvious atatimiza ndoto yake ya kuwapigania wananchi kwa ujumla wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…