Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni baadhi ya sababu,Kwanini unatumia nguvu kubwa Sana kupinga kitu ambacho hakipo?
Hizi ni baadhi ya sababu,
Kwasababu naipenda nchi yangu na watu wake.
Kwasababu napinga unyanyasaji wa hiari wa akili ambao unatokea pasipo mtu kujua.
Kwasababu natamani watu waishi kwa upendo bila kutengeneza matabaka yanayotokana na kuamini kisichopo.
Kwasababu nachukia uongo.
Kwasababu nachukia utapeli wenye dhamana ya jina la kisichopo.
Kwasababu natamani walau kila mtu awajibike kwenye maisha yake na si kutegemea kisichopo.
Kwasababu natamani watu waweze kujifunza na kuelewa mambo kwa usahihi na si kupewa majibu ya uongo ambayo yanaleta comfort tu.
Kwasababu nachukia ukandamizwaji wa tamaduni zetu kwa dhamana ya kisichopo.
Kwasababu nawapenda Watanzania na Waafrika wote kwa ujumla.
Kama unaipenda nchi yako ingependeza zaidi uwahimize zaidi watu kufanya kazi kwa bidii nk, kuna mtu alikujibu vizuri Sana alsema' MPUMBAVU AMESE.A HAKUNA MUNGU ILA HAWEZI BADILI ATA UNYWELE WAKE KUA MWEUPEHizi ni baadhi ya sababu,
Kwasababu naipenda nchi yangu na watu wake.
Kwasababu napinga unyanyasaji wa hiari wa akili ambao unatokea pasipo mtu kujua.
Kwasababu natamani watu waishi kwa upendo bila kutengeneza matabaka yanayotokana na kuamini kisichopo.
Kwasababu nachukia uongo.
Kwasababu nachukia utapeli wenye dhamana ya jina la kisichopo.
Kwasababu natamani walau kila mtu awajibike kwenye maisha yake na si kutegemea kisichopo.
Kwasababu natamani watu waweze kujifunza na kuelewa mambo kwa usahihi na si kupewa majibu ya uongo ambayo yanaleta comfort tu.
Kwasababu nachukia ukandamizwaji wa tamaduni zetu kwa dhamana ya kisichopo.
Kwasababu nawapenda Watanzania na Waafrika wote kwa ujumla.
Nmekupatia sababu lukuki,Kama unaipenda nchi yako ingependeza zaidi uwahimize zaidi watu kufanya kazi kwa bidii nk, kuna mtu alikujibu vizuri Sana alsema' MPUMBAVU AMESE.A HAKUNA MUNGU ILA HAWEZI BADILI ATA UNYWELE WAKE KUA MWEUPE
Kwahyo, kuipenda nchi hakulimit kuwa lazima ningesema watu wafanye kazi direct kama ulivyofikiri wewe, siko katika mawazo yako.Kwasababu natamani walau kila mtu awajibike kwenye maisha yake na si kutegemea kisichopo.
Wako vizuri,isipokuwa.....
Kumfanya Mungu ni dhaifu mpaka wanaumua kujiripua wakimpigania.
Kumfanya Mungu hawezi kusikia lugha yoyote isipokuwa Kiarabu.
Na zile bikra 72 walizoahidiwa peponi,naona chenga chenga hapo.
Zanzibar kuna waislam wengi na sijaona huo upuuzi wa baikoko wala vigodoro.
Hao wanaofanya hayo ni waislam jina tu na hawana ustaarabu.
Waislam waliolelewa kwenye ustaarabu hasa wa 'Alislamu nadhiif' mavazi yao ni dishdash na thobu na abaya za kuanzia walau laki 3 na wananukia oud na perfumes.
suala la MAHARI si la utashi wa wazazi ni suala la kisheria kama alivyowasilisha mleta mada. hivyo ukiona kuna mambo meengi , angalia je hapo ulipoenda kuoa DINI IKO.........? kama hilo haliko basi lazima utakutana na hayo lkn UISLAMU ni mfumo kamili wa maisha.Naunga mkono ila hapo kwenye mahali tu nna chakusema
Ni kweli mahali anataja mlengwa mwenyewe ambaye anatakiwa kuolewa ila siku hizi baadhi ya waislam wengi wanapindisha hapo kwenye mahali naomba wakemewe yaani viongozi wa dini wakemee kipengele cha mahali
Unakuta binti ametaja vizur tu kiwango/kitu anachohitaji kama mahali ila wazee nao wanaongeza wanachotaka kiufupi haipendezi- tunaghahiri sana kuoa kutokana na hali ngumu ya maisha na hawa wazee wa kiislam kuongeza cha juu , haipendezi wakemewe watatuua na kuzini maana binti zao bado wanamiminika maghetoni Kwa masela na wao wenyewe ndio wanatia ugumu
Ameorodhesha machache sana na amesahau suala kubwa zaidi la kiuchumi.Waislamu wana mfumo wa kiuchumi ambao hauna mfano.Mfumo huo umewavutia hata wakristo kutokana na ufanisi wake.
We jamaa ni block minded cjui ndio umeshayakanyaga mafuta ya bulldozer? yan we ni mawazo mgando sana fact ni kwamba wakristo ndio wasumbuliwa zaidi na mapepo na majini wabaya kuliko waislam kwasababu ukimuona Muislam ana majini au mapepo jua huyo co mtu wa dini na ajikingi na kinga za Kisheria kama kusoma Adhkar (duwa)Kwenye tasnia ya majini na ulozi
Wakristo tatizo lao ni kupokea kila kitu bila msingi wowote.
Wao wanaona ni bora kulisaidia kanisa kuliko watu wenye uhitaji.
Kuna jumapili moja nilienda kanisani, kukawa na sadaka 2. Moja ni ile ya kawaida ambaho najua kazi yake.
Hii ya pili ilikua ni mashindano ya matoleo kati Me na Ke, nilishangazwa sana na hili. Yaani utoe tu afu wiki ijayo uje usomewe kua ni jinsia ipi ilitoa zaidi.
Yesu ni mwokozi wa nini kila siku ajali zinatokea?Mtu angekuwa na mazuri yote akaacha kumwamini Yesu kuwa alikufa kifo cha msalaba, akafufuka siku ya tatu, akapaa mbinguni, ni hatari tupu! MTU ASIPOMWAMINI YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI wa maisha yake, hiyo hasara isiyo kifani!
JESUS IS LORD & SAVIOR
Kweli kabisa mwarabi poriHalafu wenzetu wagalatia wanatuzidi ELIMU AKILI NA EXPOSURE