IDFakenyingine
Senior Member
- Sep 28, 2022
- 176
- 441
Kinachoshangaza ni ushoga umekubalika makanisani na ndoa mnafungishwa!Hivi kwanini mashoga wengi ni waislamu mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachoshangaza ni ushoga umekubalika makanisani na ndoa mnafungishwa!Hivi kwanini mashoga wengi ni waislamu mkuu?
Tofautisha kati ya UISLAMU NA WAISLAMU. KInachozungumziwa hapa ni UISLAMU. Jiulize kwani hakuna WAISLAMU walevi,wazinzi,wachawi? Kisha tujiulize UISLAMU unasemaje kuhusu Ulevi,uchawi,uzinzi n.k. Kifupi ni kuwa UISLAMU UKO KAMILI lakini WAISLAMU wanamapungufu yao.Yote uliyoandika hapa ni upuuzi na unapaswa kuzomewa na watoto!
Hivi ushawahi kusafiri nchi yeyote mbali ya tz kweli mkuu?
Nikujuze tu,huko ulaya na marekani hakuna watu wanajulikana kwa uchafu kama wasomali.Wasomali wanaaibisha wafrika jamani.
Watoto wa kisomali iwe summer iwe winter utawakuta na yale makamasi mazito yanachuruziko puani.
Mitaa wanayoishi wasomali kumejaa makohozi njia nzima na kila sehemu.Wanatema makohoz mpaka kwenye masink ya kuoshea vyombo.
Kipindi cha summer wanawake wa kisomali huwa wananuka sana.Sanaa.
Tuachane na wasomali labda ni wakristo.Tuongelee vijana wa kiarabu waishio nchi za ulaya na marekani.Hawa ndo kundi hatari kwenye jamii.Wengi wao hawapendi shule na huishia kuwa waalifu.
Unakuta likijana limetoka nchi ya vita arabun limepokelewa nchi kama Norway ila shukran yake ni kuua wanorway kwa risasi na kuharibu miundo mbinu ya nchi ya watu kwa makusudi.
Tuachane na hao,njoo huku buza kwa mtogole na Mbagara kwa kina Mwajuma ndala ndefu.Umesema waislam mnapendana eti?Hivi hizi taarabu za kuitana kinyago cha mpapure na hizi matarumbeta za kusutana mkiwa mmevaa vijora vyenu bila pichu ushawahi kuona wadada wa kikristo wakifanya huo ujinga?
Umesema wanawake wa kiislam wanastara wanajiheshimu?🤣Hivi ushawahi kuona mwanamke wa kikristo akavaa kijora bila pichu akakimwagia maji akalala chini mbele ya umati akaanza kucheza ile style ya Snura(sijui inaitwaje).
Mashoga wapo wa dini zote ila machoko wengi wana majina ya kiislam wanatokea Mombasa na Tanga kulikojaa waislamu.
Mungu ameamrisha katikanQuran kuwa tuwatii viongozi miongoni mwetu pale tu wanaposhikamana na Quran na Sunnah za Mtume Muhammad! Tofauti na hapo mtu akija na porojo zake ambazo zipo nje ya Quran na Sunnah za Mtume hakuna kumtii abadani.Niliwahi kumsikia Shekh mmoja anasema walikuwa na kikao Cha pamoja na Mapadri, basi wakaambizana kila Dini (Waislam na Wakristo) waseme chochote kizuri kuhusu Dini nyingine.
Waislam wakasema uzuri ktk Ukristo ni wafuasi wao wanavyo watii viongozi wao, ni watiifu sana. Na Wakristo wao wakasema uzuri ktk Uislam ni wafuasi kuhudhuria Kwa pamoja swala 5 Kila siku.
Yule Shekh aliyekuwa anasema hayo akasema anatamani Waislam wangekuwa watiifu Kwa viongozi wao kama Wakristo.
Sasa unaonesha picha za watu ambao huna uhakika kama ni waislamu alafu ndo unatumia kama ushahidi!!Kila mtu anajua Madera,majura,vijora ni mavazi ya wanawake wa kiislamu waishio maeneo ya pwani.Ni mavazi ya heshima na stara yakivaliwa ipasavyo ila baadhi ya wanawake wa kiislamu huyatumia kwenye mambo ya kikahaba kama hivyo.
Binafsi naamini wapo waislamu wasafi na waislamu wachafu.Rohoni na mwilini na pia wapo wakristo wasafi na wa chafu pia.
Ninachompinga mtoa mada ni kuandika upuuzi eti waislamu wote ni safi mwilini na rohoni ndo mana nikamuonesha picha za uchafu wa baadhi ya waislamu.
Mim navaa suruali na vimini.Similiki dera hata moja mkuu
Acha uongo wewe, kwamba, uislamu ni wa siku nyingi kuliko Uyahudi. Kwa historia ipi ndugu?Kwahiyo unapinga au unafafanua zaid, ila nacho jua uislamu ni wasiku nyingi kuliko uyahudi Jewish
Huyo faiza @foxy ni muislam jina tu akuna analolijua kwenye uislamKuna sekta waislam wako njema.
Ila ni kama ukristo tu wanaouharibu ni baadhi yao, ila wana misingi mizuri ya maisha.
Sema baadhi ya waislam wanaoendesha dini kwa hisia ndo wanaharibu, wanadharau dini nyingine, wanatukana watu humu mitandaoni.
Kuna jamaa id yake nimeisahau, ni muislam ambae hata umtukane yeye anakujibu kwa staha tu bila kurudisha kejeli wala tusi. Sio hawa kina FaizaFoxy kidogo tu kakudhihaki, kaidhihaki dini yako nk. Binafsi nawaelewa sana watu wa hivo sio hawa wabwatukaji
Angalia nchi zenye ukristo wa kweli kama Sweden,Norway na Finland jinsi watu Wana level ya juu ya maisha na ubinadamu
Kila mtu anajua madera ni ya waislamu.Sasa unaonesha picha za watu ambao huna uhakika kama ni waislamu alafu ndo unatumia kama ushahidi!!
Dera sio vazi la kiislamu hayo umesema ww, tu kwa utashi wako.
Tatizo una chuki binafs alafu ww ni dume kwann unajifanya demu?
Wazungu sio wanafiki ndo mana wanafanya hivyo.Kinachoshangaza ni ushoga umekubalika makanisani na ndoa mnafungishwa!
![]()
HAWA NDIO MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI DUNIANI WANAOTETEA USHOGA SOMA HAPA KUWAJUA
fullhabari.blogspot.com
View attachment 2662049
Ki ukweli swala la Ubinadam Waislam wako juu sana.(Acha na ule uslam unao usikia wakuvaa mabomu)Sisi tupo vizuri kwa watoto yatima na vituo vya afya vikubwa ni vyetu hata serikali uingilia ku support
Hapo umeongea vizuri Sasa.Kwenu hamna siku maalumu ya ibada,ila manabii waliambiwa waikumbuke na kuitunza jumamosi kuwa siku ya ibada tu.Kwo uislamu sio dini ya mitume na manabiiBoss mbona hasira hahaha.... kwanza sisi hatuna siku kuu ya ibada, kilasiku sisi ni swala tano mpaka kufa! Kwahiyo siku zote ni sawa, usifosi tufanane, na hata kurejea huko nilikuwa sifananishi Bali nabainisha
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Yeye(Muhammad) ndiyo anajishuhudia mwenyewe kwenye kitabu chake,lakini MUNGU hasemi hivyo.Hata wewe unaweza kuandika kitabu,ukajiita nabii wa mwisho.Labda nijadili hoja Moja tu;Quran ndo umul kitabu mother of all hollybooks, vitabu vyote vya nyuma yake viliunganishwa humo baada ya watu kuingiza maneno yao ie interpolluted and extra polluted, Quran ndo final source of law/sheria hamna kitabu kingine wskika zaidi ya Quran na Muhammad ndo mtume wa mwisho hamna mtume mgine baada yake. Yoyote anae jitokeza anakua batili au impostor ch 2:2 Quran.
Kuoa ni sheria?Kama ni sheria,Isa nabii wenu alioa?Mkewe alikuwa akiitwa nani?Kwa hyo nabii wenu Isa alivunja sheria ya MUNGU na akaendelea kuwa nabii sio?Shida yenu hamjui sheria ya MUNGU ndo nini,na inapatikana wapi.Kuoa ni hiyari.Haijawahi kuwa sheria kwa mujibu wa vitabu vyote vya manabii(Muhammad sio nabii).Sheria ni hizi;usiwe na miungu mingine,usiisujudie wala kuitumikia sanamu,usilitaje Bure jina la BWANA MUNGU wako,ikumbuke siku ya sabato uitakase,usiue,usizini,usiibe,usimshuhudie jirani yako uongo,usitamani mke,Wala mali ya jirani yako.Nyingine usile najisi.Hakuna sheria inayolazimisha watu kuoa.Hii anayo Muhammad tu ambaye ni nabii wa uongo.Labda tukufundishe vitu ambavyo huvijui, malaika wenyewe wanamsujudia Mungu, Ibrahimu aliowa mke zaidi mmoja, Musa naye aliowa, ni mtume gani anayefanana nao
Sawa nawaacha wasonge mbele!Sijajua, ila kuna walio elewa
Licha ya makuraishi wa Macca Kumkana Mtume Muhammad (S.A.W) Lakini bado walimwamini Kwa sababu Ya Taifa Yake Njema.Kwenye heshima nadhani Wakristo wako vema sana hapa naongelea ukiristo dini na sio jina