Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Wanachukia Nguruwe asiyewachukia Wala kuwadhuru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poole,umeongea kwa hisia saana😁😁😁😁KWELI KABISA 😁😁😁😁 wakristo wengi wanakula futari wakati wa ramadhani na vitimoto vingi vinadoda mwezi wa ramadhani maana walaji wanakuwa kwenye mfungo
Sasa hapo anaewafuata wenzake ni nani?? Maana wakristo hamuwafati wazungu kwenye hizo mahari talaka mazishi nk. Mnafata mila za mababu zenu.Mimi ni mkristo tena mkorinto(msabato) na nakubaliana na hoja yako kwa asilimia kubwa tu.
Japo dini zote ni mapokeo ya kikoloni, yaliyoelekeza watu waishi kama jamii za watu fulani, lakini sie wagalatia hawa jamaa zetu tumewafata hadi kupitiliza, sidhani kama wazungu wana complications nyingi namna hii. Mbona harusi/sherehe za wazunhu ni simple tu, mbona mazishi yao ni so private, mbona wao hawana mahari kwa asilimia kubwa tu, mbona wana ustaarabu mkubwa(mind your own business) etc.
Naachaje hisia na wakati biashara zetu za Kitimoto zinadorora😁poole,umeongea kwa hisia saana😁😁😁😁
Kwa hiyo uliposema "mahali"ulimaanisha nini!?Hiyo sio hoja mkuu
Soma tena uelewe hoja yangu, nimesema mbona hata kama tunawafata wazungu sisi "tumepitiliza"!Sasa hapo anaewafuata wenzake ni nani?? Maana wakristo hamuwafati wazungu kwenye hizo mahari talaka mazishi nk. Mnafata mila za mababu zenu.
Waislam wanafuata mila za waarabu kwa 100%
Kwann tena usema nyie wagalatia ndo mnafuata sana wazungu? Help me understand
Poole😁😁😁,unaumia saana.ukweli unaujua ila unajizima dataNaachaje hisia na wakati biashara zetu za Kitimoto zinadorora😁
Kwa hiyo uliposema "mahali"ulimaanisha nini!?
Kuna Mkristo amewahi kufufuka?Tabu ya uislamu,unaweza kuzimia kidogo tu ukaamkia mbinguni,yaani mazishi ni fasta[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaKabisa mkuu,
Kwenye hicho kipengele ukiigiza tu inakula kwako!
Yatima kwa mujibu wa Quran, ni mtu aliyefiwa na wazazi? Kwa maana hata wewe ukifiwa na wazazi utaitwa Yatima. Kuna ambaye sio mtoto Dunia hii? Wewe ni mtoto kwa wazazi wako, hivyo wakifariki wewe ni Yatima.Tatizo mna uwezo mdogo wa kujadili mambo mnakimbilia kashfa,hayo matatizo ya akili umetumia kipimo gani kuyabainisha,....acheni kunyanyasa yatima
Ukristo wameeleza wapi MKE apate mali 1/2?labda sikukufafanulia vizuri, nilisposema mama, nilimaanisha "MKE". linganisha mgao anaopata mjane wa kiislam (1/4) na mgao anaopata mjane wa kikristo (1/2). vinalingana?
Kwa kukusaidia uislamu unaiamini tourati ya mussa na imetajwa ktk kuranHongera kwa uchambuzi mzuri. Ila kumbuka Sheria au Sharia na Desturi nyingi zinazotumika katika Dini ya kiislam zilichukuliwa au kuendelezwa kutoka katika Dini ya Kiyahudi. Mengi unayoyaona yanafuatwa na kuzingatiwa na waislam yapo hivyo hivyo pia katika Dini ya Kiyahudi.
Na mengi ni yapo kama yalivyo kwenye Torati au Taurati ya Musa au yamenyumbulishwa kama walivyonyumbulisha waandishi wa sheria wa wakati ule na kupata sheria zaidi ya 600+++ kutokana na Torati.
Wakristo waliondokana na Sheria hizo kwa sababu nyingi zilikuwa mzigo mzito ambao walilazimishwa kuzitii watu wa chini huku waliozisimamia wakiishi kinafiki.
Ni kama Leo nchi ya Saudi Arabia ambayo inafuata Sharia Kali za kiislam na ni Suni na wananchi wanafuata.. lakini wanaozisimamia ambao ni utawala na familia ya kifalme ya Saudia wanaishi maisha ya kufuru na uchafu wa kila namna. Kila starehe Duniani unayoijua na usiyoijua wanafanya lakini kwao huko wanaonekana ni watakatifu mno maana ni descendants wa mtume.
Utaratibu na Sheria hizo ni nzuri kwa maana ya kuweka usawa kwa wote ingawa zinaweza kuleta changamoto kutokana na mazingira tofauti tofauti ya Ulimwenguni.
Zipo nchi za kiislam ambazo ukienda utashangaa hawafuati kabisa baadhi ya Sheria. Mf. Indonesia, Uturuki, Lebanon Kuna baadhi wanafuata Desturi zao badala ya sheria ya Dini.
Ila kwa ujumla ni nzuri sana Kila Dini ila jambo zuri la pekee ambalo Dini nyingine inaweza kujifunza.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Uliwapima kwa kutumia nini?Hukohuko uswahilini nimepita nikakuta Wakristo na Waislam nikawapima bado muislam alishinda kwenye ishu ya usafi na Stara Hilo wala sio la kubishia
Uliwapima kwa kutumia nini?
Kuvaa miguo mikubwa bila pichu ndo heshima?
Ni kweli nawaonea wivu madada wa kiislamu wana kitu na madera yao.Watafika mbali.Acha makasiriko na Wivu Mkuu