Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Nimeshangaa kusikia wanaongoza Kwa usafi[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]hivi kawahi kuishi na wapemba huyu?wanaogeshea watoto kwenye masufuria ya kupikia
Aende huko msasani mandazi road atawakuta jikoni kama dampoo, rangi ndiyo huwatoa.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
ongea mambo yooote lakini sio kwenye usafi. nenda maeneo mengi ya waislam, anzia tu hapo dsm, vyooni kwao utakuta maji ya kutawaza, ila hakuna sabuni ya kunawa mikono baada ya kushika nnya. that means, wengi huondoka chooni hawajanawa mikono kwa sabuni ndio maana maeneo hayo mengi yanaongoza kwa magonjwa ya tumbo. pia, kwa wale ambao walishawahi kudate na wavaa ushungi, hakuna watu wananuka vikwapa kama wale. kitu pekee wanachofanya ni kutia udi na mapafyumu kibao. halafu, kwani si tunaishi wote mtaani huku, wanawake wenu wanagongwa na dini zote, nakushauri useme tu kwamba wanawake wote ni sawa tu, wapo wachafu na wapo wasafu kwa dini zote.

kwenye mgawanyo wa mali, mimi ni mwanasheria, hakuna dini kandamizi kwenye mgawanyo wa mali kama dini ya kiislam. kwanza, ukianza tu kwa mtoto wa kambo, harithi kwa baba. ni mtoto haram. pia mama anapata mgao mdogo sana wakati kwa wakristo anaweza kupata nusu ya mali.

kwenye mahali, wewe kama mwanaume unatakiwa kujiona kidume kwa kutoa mahali, sio kupewa tu mke kama huna uwezo.

kwenye mazishi, hapo tusidiscuss, utaaibika.

mwisho, heshima ya mwanamke, naweza kukubaliana na wewe kwa mbaaali, though heshima ya wanawake wa kiislam ni ya woga, sio ya kutoka moyoni. wanaishi kama watumwa, watumwa wa dini na watumwa wa mume. na inahitaji upunguze kidogo akili ili uwe sawa kwasababu kwa akili ya kawaida haiji kichwani mwanamke kukubali mume aoe mwanamke mwingine hadi kufikia 4. kama sio utumwa au upungufu wa akili ni nini? hawajipendei.
Asante Ubarikiwe sana.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni Anglican pure,napenda kujifunza Injili na mafundisho tofauti toka kwa wapentecoste na waadventista,na Kuna mazuri niliyojifunza lakini huwa nakwazika Sana Kwa baadhi ya wafuasi wao kujiona ni watakatifu na kudharau madhehebu mengine,kwa kweli not gud at all... Thanx anyway nimependa ushauri wako nitaufuata.
Asante J, very understanding. Lakini pia sote tu wakristo hakuna nafasi ya kubaguana. Mafundisho yoyote yenye kuleta ubaguzi ni ya kupuuzwa na kupingwa vikali.
 
Nilidhani nazungumza na Mkristo mwenzangu,kumbe nazungumza na mtibeli, Ndio maana lugha zetu hazifanani..Binafsi Nina chapa ya msalaba mwilini mpaka rohoni
mwangu, ,sitaionea aibu na nitakuwa balozi wa Kristo siku zote,nitaishi Imani,nitailinda Imani,siwezi kuruka ruka Mara hapa Mara pale no way!we endelea tu na huo utibeli wako

Watibeli tutalinda na kuheshimu Imani zetu na Imani za Watu wengine ikiwa zinafanya mambo Mema na mapenzi ya Mungu mwenyezi.

Barikiwa Sana
 
Nenda zako nyie bwana wapare wengi waislam na wasabato. Utakua msabato au muislam tu lazima unasifia ndugu zako ktk imani.

Acha makasiriko Mkuu.
Hata wewe ni ndugu yangu ikiwa unapenda Ukweli, Haki, upendo, na Wema
 
Sehemu Nayowapa Credit ni maswala ya UBINADAM(HURUMA NA KUSAIDIA)

Nadhani ni karibia hospital zote kubwa waislam Ndo wenye mchango mkubwa kuwasaidia wagonjwa wote bila kujali itikadi kwa kuwapa vyakula na maji.

Nilishawahi uguzaga Mgonjwa hospital mbili tofauti nikabahatika kuona hiyo hali , ilinivutia sana .Kwani ndani ya wodi alolazwa mgonjwa wangu karibia wote hawakuwa hata na ndugu wenye uwezo wa kukimu mahitaji la mlo kwa mara tatu. Hivyo ukipeleka chakula basi unazidisha angalau nae awape wenzake.Pia kupitia hizo taasisi za kiislam zilifanya wagonjwa wote kupata chakula na maji.

Nilijiuliza ni namna gani wanawasaidia watu katika hali ngumu kama ile huku imani ya pili huku ndo kwanza ni kuchangishana kwenye nyumba za ibada ili kujenga hospital alafu gharama zao ziko juuu.
ni kweli mim nilipata Ajali Manyoni kwenye gar tulikuw wawili mim na mdogo wangu alilazw hospital ya wilaya na sis ni Wageni kwakweli kila asubuh walikuja waislam na chupa za uji na kugawa kwa wote na Tena wasio na ndugu walusaidiwa usafi wa kufuliwa nguo
 
Kwa hiyo thamani ya Mwanamke ndio imeonyeshwa hapa au Sio?
Hivi unafahamu Kama yatima ni binadamu aliye chini ya miaka 18?Sasa Mbona mnaambiwa muoe watoto wawili wawili,watatu watatu au wanne wanne?
Je nikiita huu ni unyanyasaji wa kijinsia nitakuwa nimekosea kweli?
Matatizo ya akili hayo sasa, tafsiri ya yatima umeitoa wapi? Kwenye Quran au TUKI? Yatima ni mtu yeyote aliyefiwa na Wazazi wake.
Kuolewa unaona unyanyasaji? Huna hoja ya msingi, umejibiwa kwa vifungu, onesha huo unyanyasaji hapo.
 
Matatizo ya akili hayo sasa, tafsiri ya yatima umeitoa wapi? Kwenye Quran au TUKI? Yatima ni mtu yeyote aliyefiwa na Wazazi wake.
Kuolewa unaona unyanyasaji? Huna hoja ya msingi, umejibiwa kwa vifungu, onesha huo unyanyasaji hapo.
Tatizo mna uwezo mdogo wa kujadili mambo mnakimbilia kashfa,hayo matatizo ya akili umetumia kipimo gani kuyabainisha,....acheni kunyanyasa yatima
 

Attachments

  • Screenshot_20230618-110307.png
    Screenshot_20230618-110307.png
    125.8 KB · Views: 9
Nina uhakika ulichoandia hukijui au umejaza zaidi chuki za kidini kuliko uhalisia.

1. Mgawanyo wa Mali, Sheria ya Dini ya kiislam umeisoma, umeelewa mantiki ya mama kupata kiwango cha kawaida? Unajua mama akizaa na huyo baba anapata kidogo na kama hajazaa nae hupata kingi?
Unaelewa kwa nini?

2. Usafi, wapi ambako ukienda Chooni unawekewa na Sabani ya kujisafishia nchi hii? Kuna Mkoa unauzidi Mbeya kwa Ukristo Nchi hii? Kule umewahi kufika, wale wamestaarabika? Watu wa mbeya unaweza wafananisha na watu wa mkoa upi wa Pwani kwa usafi ni ustaarabu?

3. Mazishi huna unalojua na sio kwamba usubiri la kusema.

4. Mahari iko simple na ni sheria ya uislam mahari anataja Mwanamke na anakabidhiwa mwanamke mwenyewe.

Hoja zako zote umejaza chuki bila uhalisia. Utapoteza nini ukikubaliana na hoja? Kwamba utakuwa muislam au?
Acha ushamba.
labda sikukufafanulia vizuri, nilisposema mama, nilimaanisha "MKE". linganisha mgao anaopata mjane wa kiislam (1/4) na mgao anaopata mjane wa kikristo (1/2). vinalingana?
 
Asante J, very understanding. Lakini pia sote tu wakristo hakuna nafasi ya kubaguana. Mafundisho yoyote yenye kuleta ubaguzi ni ya kupuuzwa na kupingwa vikali.
Hakika ni wa kupuuzwa,maana mtu yeyote anayeleta mafundisho yenye mlengo wa kibaguzi huwa Nia yake ni kuleta taharuki kwenye jamii husika .
 
labda sikukufafanulia vizuri, nilisposema mama, nilimaanisha "MKE". linganisha mgao anaopata mjane wa kiislam (1/4) na mgao anaopata mjane wa kikristo (1/2). vinalingana?
Kwani unadhani haelewi?anajichomoa card si unaona hata jina lake
 
labda sikukufafanulia vizuri, nilisposema mama, nilimaanisha "MKE". linganisha mgao anaopata mjane wa kiislam (1/4) na mgao anaopata mjane wa kikristo (1/2). vinalingana?
Tukisema someni dini acheni blah blah mnakuja na ngonjera nyingi

Sasa ndugu iyo(1/2 yaani 50% kwa 50%) unayoisema ni ukristo au ni mahakama hahahahaha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Uislamu hajuwepo kabla Ukristo au Uyahudi msipotoshe hata vitabu vya kislamu havikusema hivyo,Kumbuka mwislamu wa kwanza ni Khadija,then wanawe na mjombake ndipo akaja mtume Mohamed ambaye ndie wa kwanza ktk wenye kusilimu.Msipotoshe
 
Back
Top Bottom