pangwinga
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 200
- 140
Kumbe USA ni waislam watupu maana dio wanalazimisha wanaume kwa wanaume waoane pamoja na uk na [emoji634] italyHata kwenye kutoa ndogo wapo vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe USA ni waislam watupu maana dio wanalazimisha wanaume kwa wanaume waoane pamoja na uk na [emoji634] italyHata kwenye kutoa ndogo wapo vizuri
Mhhh jambo usilo lijua ni sawa na usiku wa kizaAngalia nchi zenye ukristo wa kweli kama Sweden,Norway na Finland jinsi watu Wana level ya juu ya maisha na ubinadamu
Punguza makasiliko utakuja kunishukuruWengi wa waislamu ni wanafiki sana hasa Kwa wakristo,ni wamejaa zuluma sana hawana upendo,wavivu na watapeli ,waanaamini kumdhulumu mtu wa imani nyingine kwao siyo dhambi,hawataki kuwajibika hata Kwa watoto wanaowazaa ndiyo maana hukimbilia talaka,ulozi na ugannga ugannga ndio kitu pekee wanaweza kuongoza
Uongo kabisaKwahiyo unapinga au unafafanua zaid, ila nacho jua uislamu ni wasiku nyingi kuliko uyahudi Jewish
Nilchoandika kipo kwenye maandiko lakini wewe umetumia mtazamo wako!Uzima wa milele ni kumjua Mungu wa kweli na wajumbe wake,
Swali litakuja, wajumbe wake ni kina Nani?
MTU yeyote Mwema, atakayekupa habari njema na ya Haki ujue huyo ni mjumbe wa Mungu.
Mimi ni Anglican pure,napenda kujifunza Injili na mafundisho tofauti toka kwa wapentecoste na waadventista,na Kuna mazuri niliyojifunza lakini huwa nakwazika Sana Kwa baadhi ya wafuasi wao kujiona ni watakatifu na kudharau madhehebu mengine,kwa kweli not gud at all... Thanx anyway nimependa ushauri wako nitaufuata.Mbona mimi sina chuki na madhehebu mengine J, ni vile mtu anaichukulia tu imani yake nadhani. Mafundisho mengi hasa ya vitabu wanavyoita roho ya unabii yanahitaji utulivu wa nafsi na imani thabiti ili kuyaelewa, ila binafsi yangu nachukua lililo jema toka kwa yoyote muhimu tu lisinipeleke nje ya kile ninachoamini.
Tunalihubiri neno, sio zaidi. Ukimuona mtu anazungumzia madhehebu wewe mpuuze tu.
BTW mimi sio conservative, nina maswali magumu sana ambayo huwa nikiuliza watu hata kanisani wanaishia kusema nitakufuru. Dini hazitaki tuwe critical.
Hivyo wewe endelea tu kuangalia Hope channel TZ, sikiliza mafundisho mazuri ya afya(we do well kwenye mafundsho haya), mafundisho ya familia na ndoa na injili ya Yesu Kristo. Mengine wala usiyape nafasi.
Mhhh unatembea na janabaHeri wewe usiyefungamana popote....Mimi ni mkristo,nitaishi na kujivunia Imani niliyoichagua,na itakuwa Bora siku zote....Aisee Nina vingi vya kuipenda Imani yangu
Mbona kama sijaelewa hoja yako!Naunga mkono ila hapo kwenye mahali tu nna chakusema
Ni kweli mahali anataja mlengwa mwenyewe ambaye anatakiwa kuolewa ila siku hizi baadhi ya waislam wengi wanapindisha hapo kwenye mahali naomba wakemewe yaani viongozi wa dini wakemee kipengele cha mahali
Unakuta binti ametaja vizur tu kiwango/kitu anachohitaji kama mahali ila wazee nao wanaongeza wanachotaka kiufupi haipendezi- tunaghahiri sana kuoa kutokana na hali ngumu ya maisha na hawa wazee wa kiislam kuongeza cha juu , haipendezi wakemewe watatuua na kuzini maana binti zao bado wanamiminika maghetoni Kwa masela na wao wenyewe ndio wanatia ugumu
Kabisa mkuu,Tabu ya uislamu,unaweza kuzimia kidogo tu ukaamkia mbinguni,yaani mazishi ni fasta[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama sijaelewa hoja yako!
"Mahali" gani unapopazungumzia mkuu!?
Nilidhani nazungumza na Mkristo mwenzangu,kumbe nazungumza na mtibeli, Ndio maana lugha zetu hazifanani..Binafsi Nina chapa ya msalaba mwilini mpaka rohoniImani inalindwa Kwa kutenda Mema, kupenda wengine, kuona ukweli na kuusema, kutenda HAKI Kwa wote pasipo kupendelea. Hiyo ndio Imani ya kweli.
Ukristo na uislam au vyovyote vile ni matawi katika mti mmoja ya kuhakikisha Watu wanakuwa Watu Wema, Watu Bora katika kuishi katika mapito Yao hapa Duniani.
Watibeli ni Watu wasiolimitiwa katika kutafuta ukweli na Haki. Popote penye ukweli na Haki, na Wema Sisi tunachukua mazuri tuu.
Ninapenda Sabato Kwa sheria kadhaa zilizonjema, ninapenda Ukristo Kwa sheria kadhaa zilizonjema, ninapenda uislam Kwa sheria Fulani zilizo njema, ninapenda Uafrika Kwa sheria kadhaa zilizo njema.
Ndivyo Watibeli tulivyo.
Karibu Sana Mkuu
Mi Sio muislam so siwezi kuwa na janaba....janaba mnalo nyie si unaona hata lugha yenyewe mnavyoliita,Mhhh unatembea na janaba
Hata ukiwa wa moto wao wanakuzika, Wakristo lazima wasubili maiti apoe.Tena kwenye kuzika wenzetu hawarembi kabisa
Wakristo mtu akifa sijui itatengenezwa badget ya mamilion,watu sijui mchange blahblah kibao
Ova
Kilo moja au mbili za unga wangano tayari sherehe ya harusi .Naunga mkono ila hapo kwenye mahali tu nna chakusema
Ni kweli mahali anataja mlengwa mwenyewe ambaye anatakiwa kuolewa ila siku hizi baadhi ya waislam wengi wanapindisha hapo kwenye mahali naomba wakemewe yaani viongozi wa dini wakemee kipengele cha mahali
Unakuta binti ametaja vizur tu kiwango/kitu anachohitaji kama mahali ila wazee nao wanaongeza wanachotaka kiufupi haipendezi- tunaghahiri sana kuoa kutokana na hali ngumu ya maisha na hawa wazee wa kiislam kuongeza cha juu , haipendezi wakemewe watatuua na kuzini maana binti zao bado wanamiminika maghetoni Kwa masela na wao wenyewe ndio wanatia ugumu
Kwa hiyo thamani ya Mwanamke ndio imeonyeshwa hapa au Sio?Surat Al-Nisaa
3. Na kama mkiogopa kwamba hamuwezi kufanya uadilifu katika mayatima, basi oweni mnaowapenda katika wanawake, wawili wawili au watatu watatu au wanne wanne.
4. Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni hadiya, lakini wakikupeni chochote kwa radhi ya nafsi katika hayo, basi kileni kiwashuke kwa raha.
Naikumbuka sana hiiNiliwahi kumsikia Shekh mmoja anasema walikuwa na kikao Cha pamoja na Mapadri, basi wakaambizana kila Dini (Waislam na Wakristo) waseme chochote kizuri kuhusu Dini nyingine.
Waislam wakasema uzuri ktk Ukristo ni wafuasi wao wanavyo watii viongozi wao, ni watiifu sana. Na Wakristo wao wakasema uzuri ktk Uislam ni wafuasi kuhudhuria Kwa pamoja swala 5 Kila siku.
Yule Shekh aliyekuwa anasema hayo akasema anatamani Waislam wangekuwa watiifu Kwa viongozi wao kama Wakristo.
Shangaa hata wewe hao wote viongozi sijui hawahutubii, wakati na walinzi wao wapo wanaume., kwanza kwenye ndoa wala hata sitamani, huo usafi mmm aseme baadhi ya sehemu nenda kusini huko utajionea mabintiBwana taikon nenda kaoe Pemba halafu tuletee mrejesho hapa.
Kwenye kuzika, kwa sababu ya haraka Kuna muda wanazika hata waliozimia TU. Kwani hujawahi kusikia mtu kazirai kwa masaa 12? Sasa wenzako ukikata moto TU, twende kazi.
Kuhusu usafi inategemea, mambo mengi, kabila, eneo, elimu na mwamko wa familia, Hali ya uchumi nk. Mrisho Mpoto aliendesha kampeni ya Nyumba ni choo kule Lindi na Mtwara wakati asilimia kubwa ni hao hao. Kuhusu mirathi, Wakristo wameelimika muda mrefu sana. Hawataki kugonganisha mamlaka. Kama Kuna jambo Serikali inaweza kulitolea majibu au ufafanuzi wanaliacha mikononi mwa serikali. Ndio maana huoni Wakristo wakihangaika kama waislamu na Mahakama Yao ya kadhi. Mpagani akipewa madaraka anatumia katiba katika majukumu yake, hatumii upagani. Nashangaa wewe ni msomi wa namna Gani usiyejua Hilo? Ni nani aliyekupa utaikon? Kuhusu ndoa, Ndoa za kikristo zinavunjika, lakini hazifanani na zile za mwezi wa ramadhani. Kuhusu wanawake kuhutubia, Mzuwie mama Samia, Ummy mwalimu na akina Ashantu wasihutubie. Na kama wakiemdelea, wapeleke mahakamani. Saudia waliwazuwia wanawake, wasiwe waalimu, madereva hata kuwa madaktari, kisa watawatibu KE au ME. Lakini Sasa mambo yakoje kule? Wale wenzako hata kuongezewa damu ni Bidaa, we kalaga baho.