Maeneo gani ambayo hupaswi kutafuta mke?

Mnatafuta wake ili mgundue nini? Pelekea moto kisha tembea mbele.
Tatizo tunaumia sana kuona wenzetu wakiitwa baba na wanao halafu sisi tunaitwa majina yetu halisi inaumiza sana ,ma ndo maana tunasaka wake na sio wa kuchapa na kutembea kwani hao wa namna hiyo wamejidhibiti wasinase mimba kwa kujilinda kupitia njia za uzazi wa mpango .
 
Waramba aje hapa atupe sababu.

Mtu mwenyewe anaonyesha kutokujiamini!! Kwanini afute comment? 🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui kakumbwa na nini kafuta.

Angetoa na sababu ingekua jambo la muhimu
 
By the way.....
Mke hatafutwi kama utadhani umeangusha hela kwenye mchanga.
Ebu kaa kwa kutulia, jipende, nenda kwenye ibada, fanya kazi kwa bidii, kua mwenye nidhamu na kisha utamuona mke amekujia
...πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘Š..
 
1. Kwenye maeneo ya migodini
2. Kwenye makanisa ya kilokole
3. Kwenye mikutano ya CCM
4. Kwenye kwenye vyuo vya vya Elimu ya Juu
 
mbona m nimeoa baamed huu ni mwaka wa 8 na ametulia na ameokoka ananishauri vzur tu,kila akikumbuka alipotoka huwa analia na mm kaz yangu kimbembeleza,c kila mwanamke baamedi hajatulia ,wengine ni maisha yanawafanya hvyo ila ukimweka ndani huwa anatulia huwa hadanganyiki kwasababu hataki kuptia maisha ya ya mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…