Maeneo gani ambayo hupaswi kutafuta mke?

Maeneo gani ambayo hupaswi kutafuta mke?

Mnatafuta wake ili mgundue nini? Pelekea moto kisha tembea mbele.
Tatizo tunaumia sana kuona wenzetu wakiitwa baba na wanao halafu sisi tunaitwa majina yetu halisi inaumiza sana ,ma ndo maana tunasaka wake na sio wa kuchapa na kutembea kwani hao wa namna hiyo wamejidhibiti wasinase mimba kwa kujilinda kupitia njia za uzazi wa mpango .
 
By the way.....
Mke hatafutwi kama utadhani umeangusha hela kwenye mchanga.
Ebu kaa kwa kutulia, jipende, nenda kwenye ibada, fanya kazi kwa bidii, kua mwenye nidhamu na kisha utamuona mke amekujia
...👊👊👊..
 
Habari wana MMU, leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi nae,

Naanza mimi,
=>Kwenye maguest house

=>Kwenye migahawa ya chakula

=>Kwenye ma bar na kumbi za muziki

=>Sokoni au maeneo ya gulioni

=>Kwenye mabasi na vyombo vingine vya usafiri.

BINAFSI hizi sehemu hata binti anivutie vipi siwezi kumtongoza.
1. Kwenye maeneo ya migodini
2. Kwenye makanisa ya kilokole
3. Kwenye mikutano ya CCM
4. Kwenye kwenye vyuo vya vya Elimu ya Juu
 
Habari wana MMU, leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi nae,

Naanza mimi,
=>Kwenye maguest house

=>Kwenye migahawa ya chakula

=>Kwenye ma bar na kumbi za muziki

=>Sokoni au maeneo ya gulioni

=>Kwenye mabasi na vyombo vingine vya usafiri.

BINAFSI hizi sehemu hata binti anivutie vipi siwezi kumtongoza.
mbona m nimeoa baamed huu ni mwaka wa 8 na ametulia na ameokoka ananishauri vzur tu,kila akikumbuka alipotoka huwa analia na mm kaz yangu kimbembeleza,c kila mwanamke baamedi hajatulia ,wengine ni maisha yanawafanya hvyo ila ukimweka ndani huwa anatulia huwa hadanganyiki kwasababu hataki kuptia maisha ya ya mwanzo
 
Back
Top Bottom