Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Habari wana MMU,
Leo naomba kila mtu ataje sehemu ambazo kwa mtazamo wake anaona haipaswi au haitakiwi kumsaka binti wa kumuoa na kuishi naye.
Naanza mimi:
=> Kwenye maguest house
=> Kwenye migahawa ya chakula
=> Kwenye ma bar na kumbi za muziki
=> Sokoni au maeneo ya gulioni
=> Kwenye mabasi na vyombo vingine vya usafiri.
BINAFSI hizi sehemu hata binti anivutie vipi siwezi kumtongoza.