Hahaha.Lugalo na stakshar it's free anytime
kituo chochote cha polisiRejea:
Kichwa cha habali swali hapo juu.
Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule.
Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine hawajakutana na kilichonikuta kivukoni hasa msimu huu kuelekea mwaka mpya.
Ahsante I[emoji120]
Magogoni pale unaruhusiwa kwenye nyumba fulani hivi nyeupe unaruhusiwa..... pale posta pale wanapaita IKULU. Ukipita pale piga picha kadiri uuweza
Unataka utuambukize kilicho kukuta nini? ulipokatiza ile road inayopita mjengoni!!?Magogoni pale unaruhusiwa kwenye nyumba fulani hivi nyeupe unaruhusiwa..... pale posta pale wanapaita IKULU. Ukipita pale piga picha kadiri uwezavyo.....
Sasa kwanini wanazuia hata kwenye fly over? Si utakuwa ujinga huu? Mwenye sababu rasmi kuhusu maeneo hayo atusaidie tafadhali!kituo chochote cha polisi
kituo chochote cha jeshi
ikulu
ferry
hospital
kwenye fly over
na kuna baadhi ya viwanda
kwnye standard gauge ujenz na hata rel
kwaiyo mzee upande kule darajani tazara au ubungo unajipiga selfie eeeh wakati watu wakifka pale wanatungua 80km phrSasa kwanini wanazuia hata kwenye fly over? Si utakuwa ujinga huu? Mwenye sababu rasmi kuhusu maeneo hayo atusaidie tafadhali!
Itakuwa taratibu/sheria za miaka ya Analogue bado zipo.Sasa kwanini wanazuia hata kwenye fly over? Si utakuwa ujinga huu? Mwenye sababu rasmi kuhusu maeneo hayo atusaidie tafadhali!
Wewe nendatu na smartphone yako ukajionee hukoHapa inabidi wadau wa mochwari watusaidie.... Hii Ni kweli jamani?