Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

Yamepitwa na wakati hizi makatazo!

Satellites yanakupigia picha pamoja na tarehe ya gazeti inayosomwa kwenye garden ya Ikulu!

Google streetview pia kila sehemu wameshabandika kwenye mtandao!
 
Rejea:
Kichwa cha habali swali hapo juu.

Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule.

Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine hawajakutana na kilichonikuta kivukoni hasa msimu huu kuelekea mwaka mpya.

Ahsante I🙏

Principal unaitaji:

- Kibali kupiga picha professional, then ukiwa Kwenye private property au mtu binafsi Lazima umwombe Ruhusa!

Lakini Kama wapiga binafsi Kwa Matumizi binafsi, weka tu mazingira ya busara ya kupiga Kwa kificho, but avoid: Jeshini, Police etc!

Ukiwa na Gari Ni Rahisi Sana kupiga picha na video!
 
Balozi zote plus vituo vya mwendokasi (ukibisha piga picha kituo chenye askari hasa cha Posta ya Zamani kama hutaacha simu)
 
Back
Top Bottom