Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waingie kichwa kichwa [emoji3]Mkuu Usser utawaponza wengine aisee[emoji23][emoji23]. Ndugu wananchi lugalo na Stakshar Kama lilivyo jina lenyewe hizo sehemu usijaribuu[emoji3518][emoji730]
Wadau na serikali mnaruhusiwa kuufanyia kazi ushauri huu.Kivuko cha kigamboni hakuna sababu ya kuzuia kupiga picha wakati hilo eneo kwa sasa ni kama kivutio cha utalii wa ndani, kama vipi kuwe na tozo kwa anayetaka kuchukua picha hapo
wewe jamaa michango uako inanifurahishaga sana, sasa ndio umemjibu nini hapo kulingana na alichoulizaKILA ENEO LINA SHERIA ZAKE
JIBU KULINGANA WEWE UNAVYOONA INAFAA, USIDHANI SIAJELEWA KWAMBA ANAULIZIA NI MAENEO GANI HAWARUHUSU KUPIGA PICHAwewe jamaa michango uako inanifurahishaga sana, sasa ndio umemjibu nini hapo kulingana na alichouliza
Upo sahihi mkuu JoseJIBU KULINGANA WEWE UNAVYOONA INAFAA, USIDHANI SIAJELEWA KWAMBA ANAULIZIA NI MAENEO GANI HAWARUHUSU KUPIGA PICHA
NIMEAMUA TU kumjibu kuwa kila eneo lina utaratibu wake ndio maana wanaruhusu na sehemu zingine hawaruhusu kwa sababu mbalimbali
GOODTechnolojia ya sasa imewawia vigumu kutekeleza hio sheria kwa wachukuaji wa picha wenye nia ya kuiba hizo picha,
Aina hizi za wachukuaji picha ni vigumu kuwatambua mpaka uwe na vifaa maalumu
-Mchukuaji video anajifanya anapokea simu na kumbe anachukua video
Kweli kabisa na njia hii inatumika sana. Mimi ntaifanyia kazi mahali.Technolojia ya sasa imewawia vigumu kutekeleza hio sheria kwa wachukuaji wa picha wenye nia ya kuiba hizo picha,
Aina hizi za wachukuaji picha ni vigumu kuwatambua mpaka uwe na vifaa maalumu
-Mchukuaji video anajifanya anapokea simu na kumbe anachukua video
Kivuko cha kigamboni hakuna sababu ya kuzuia kupiga picha wakati hilo eneo kwa sasa ni kama kivutio cha utalii wa ndani, kama vipi kuwe na tozo kwa anayetaka kuchukua picha hapo
nilidhan unataka kusema "kama hawataki hizo sehemu zipigwe picha basi wazifunike kwa maturubai" ahaaa😃😃😃😃Kama hawataki hizo sehemu zipigwe picha wafunge vifaa kuzuia picha kuchukuliwa
Maeneo yaRejea:
Kichwa cha habali swali hapo juu.
Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule.
Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine hawajakutana na kilichonikuta kivukoni hasa msimu huu kuelekea mwaka mpya.
Ahsante I[emoji120]