Maeneo gani Dar es salaam watu hawaruhusiwi kupiga picha au kurekodi video?

Yamepitwa na wakati hizi makatazo!

Satellites yanakupigia picha pamoja na tarehe ya gazeti inayosomwa kwenye garden ya Ikulu!

Google streetview pia kila sehemu wameshabandika kwenye mtandao!
 

Principal unaitaji:

- Kibali kupiga picha professional, then ukiwa Kwenye private property au mtu binafsi Lazima umwombe Ruhusa!

Lakini Kama wapiga binafsi Kwa Matumizi binafsi, weka tu mazingira ya busara ya kupiga Kwa kificho, but avoid: Jeshini, Police etc!

Ukiwa na Gari Ni Rahisi Sana kupiga picha na video!
 
Balozi zote plus vituo vya mwendokasi (ukibisha piga picha kituo chenye askari hasa cha Posta ya Zamani kama hutaacha simu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…