TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Ubungo nishaishi ,ila kibamba ni maeneo gani mazuri zaidi?Ubungo-Kibamba. Hiyo njia haina shida. kama hujaelewa ishi Mbagala utakuja kunielewa baada ya miaka 10 ijayo
Pendekezo lako ni maeneo gani,?maana kuna maeneo hayafai kwa malezi ya familia na utulivu sio ishu ya maendeleo tu.Maendeleo ya mtaa unaopanga si ya kujivunia, Bali maendeleo ya Mtaa wenye nyumba yako ama kiwanja chako.
Mimi binafsi sehemu ya kupanga, nazingatia iwe karibu ama rahisi, kufika kwenye shuguri zangu za kiuchumi.
Asante ,Karibu,mashamba ya jeshi wazo(madale)
Sehemu tulivu
Ova
Asante,Angalia penye uafadhali kwako kwenye usafiri.
Kununua au kujengaHayo maeneo unayouliza ni kwaajili ya kupanga au kumiliki ?
Kununua au kujenga
Mlandizi napakubali nataka ninunue eneo kubwa huko nikajificheMaeneo yapo mengi, kama Madale, Mbezi mpaka mlandizi, Bunju, Kigamboni, Kijichi, Bagamoyo n.k
Huko ni Mbali sana mbona?Mlandizi napakubali nataka ninunue eneo kubwa huko nikajifiche
Kama wapi?Huko ni Mbali sana mbona?
pembezoni mwa mji maeneo yapo mengi na bei chee.
Aanzie kimara mwisho Hadi kiluvyaUbungo-Kibamba. Hiyo njia haina shida. kama hujaelewa ishi Mbagala utakuja kunielewa baada ya miaka 10 ijayo