Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

Karibu,mashamba ya jeshi wazo(madale)
Sehemu tulivu

Ova
Yeah madale kuko poa pia boko na Bunju mbezi beach yote kumetulia kote siipendi tegeta tu Mimi kwa uku bagamoyo road maana tegeta imevamiwa sana.
 
Masaki
 
Kinondoni, karibu na kwa tarimba pametulia, kinondoni kule kwa mengi apmerulia pia. Mi napenda kinondoni ni rahisi kwa kazini na shule kwa watoto. Sema sio ukakae kinondoni nyumba ya watu kumi nyumba yako mwenywe ndo naona ubora
Kwa malezi ya familia kinondoni , mwanayamala , hazifai niliwahi kupanga miaka ya nyuma , asee huvuki nyumba tatu bila kukuta mtoto teja
 
Ni zamu yako na weye uwapelekee totoz wazuri.Kwani wale totoz wazuri uliokuwa ukiwakuta huko ulidhani hawakuwa na wazazi?Mbona unafurahisha sana?Hamia hukohuko.
 
Kisemvule ndo mpango,kutokana na magonjwa haya epuka kukaa sehemu yenye watu wengi,kuishi nje ya mji Raha sana
 
Kwa malezi ya familia kinondoni , mwanayamala , hazifai niliwahi kupanga miaka ya nyuma , asee huvuki nyumba tatu bila kukuta mtoto teja
Ndio maana nikamtajia hizi sehemu nilizokaa. Kule kwa mengi kila mtu ndan ya get lake hao mareja labda wawe wamefungiwa humo magetini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…