Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha, ili Utimize ndoto zako

Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha, ili Utimize ndoto zako

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha nayo ili Utimize ndoto Yako,

✒️Gerezani(uhuru)
✒️makaburini(umauti)
✒️ Hospitali(magonjwa)

Ikifikia hatua umekata Tamaa, Basi Lia sana na Mungu kwa sababu yeye ndio anajua tamati Yako.

Aliekuumba ndio anajua jinsi ya kukutunza usipoteze Sana Thamani Yako, Mungu anakupenda.

JIAMINI Unaweza, Mimi hapa ni shabiki Yako namba moja🥋🏌🏽

MUNGU pekee ndio anaweza kurudisha Thamani ya miaka kumi uliopoteza ndani ya mwezi mmoja.

Kaa mkao wa kula, mazuri yanakuja🙏🏿🏌🏽
 
Ko hautokuja kuumwa Wala kufa🤔 Yani hizo Imani zenu bhn😂. Hao ambao wako gerezani vipi? Mungu hajawalinda?
 
Back
Top Bottom