Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Watu washavunja sana nazi kwenye maeneo inapopita reli😂😂😂😂VP UPANDE WA WENYE MALORI
NA MABASI, MAMBO YAKOJE!
ova
Nilisikia pia mradi wa kufua umeme situation ipo hivyo.
Hali ni Tete kila mahali ila ndio hivyo mabango ya kusifia nayo ni mengi sana mjini.
Reli ya kati na TRC ilihujumiwa hadi zikafa kabisa na wahujumu hao ni wale wale. Hata SGR wapo ambao haiwafurahishi. We need total overhaul kuweka sawa Taifa letu otherwise tunaelekea nyakati ambazo tutakuwa na mfumo wa kifisadi mgumu mno kuuvunja.Taarifa za uhakika ni kuwa Ujenzi wa Reli ya SGR hasa vipande vinavyohusu kampani ya waturuki umesimama na kazi zinazoendelea ni chini ya Asilimia kumi …yaani ni kama wanaweka watu wachache kwenye sites ili kusionekane hakuna watu kabisa …
Ni vema serikali kama kweli inawalipa ikachunguza ni nini kinaendelea huko , kama kuna matatizo pengine yanayotokana na madhara ya tetemeko la ardhi au kampuni inayumba kifedha basi hatua za haraka zichukuliwe ….
Hii sio siri tena na mwisho itaonekana kama vile wananchi wanadanganywa , hali hii inasikitisha sana … kama kampuni imekwama basi watakiwe kutafuta mbia haraka …..
Mtandao wote wa ubadhirifu wa mali za uma umerudi kwa kasi kubwa ni kama vile wanashtuana kila mahali ni mwendo wa kupiga tu.Reli ya kati na TRC ilihujumiwa hadi zikafa kabisa na wahujumu hao ni wale wale. Hata SGR wapo ambao haiwafurahishi. We need total overhaul kuweka sawa Taifa letu otherwise tunaelekea nyakati ambazo tutakuwa na mfumo wa kifisadi mgumu mno kuuvunja.
Kwanza CCM yenyewe ambayo kuna watu wanajinasibu ni yao irudi kwa wananchi ili iwepo fair ground ya kujenga nchi bila individuals au some elites influences.
Vyuma vinaingia vipya kila sikuVP UPANDE WA WENYE MALORI
NA MABASI, MAMBO YAKOJE!
ova
CCM kurudi kwa wananchi ni sawa na kuota Ndiyo ya mchana.Reli ya kati na TRC ilihujumiwa hadi zikafa kabisa na wahujumu hao ni wale wale. Hata SGR wapo ambao haiwafurahishi. We need total overhaul kuweka sawa Taifa letu otherwise tunaelekea nyakati ambazo tutakuwa na mfumo wa kifisadi mgumu mno kuuvunja.
Kwanza CCM yenyewe ambayo kuna watu wanajinasibu ni yao irudi kwa wananchi ili iwepo fair ground ya kujenga nchi bila individuals au some elites influences.
Mtandao wote wa ubadhirifu wa mali za uma umerudi kwa kasi kubwa ni kama vile wanashtuana kila mahali ni mwendo wa kupiga tu.
Kama kuna wazalendo bado wasikae kimya ila kama sote tumekubaliana kuwa Taifa lisilojali vizazi vijavyo kwa kufanya ufujaji Wacha wizi uendelee.
Nchi jirani imeshafirisikaNilisikia pia mradi wa kufua umeme situation ipo hivyo.
Hali ni Tete kila mahali ila ndio hivyo mabango ya kusifia nayo ni mengi sana mjini.
Reli ya kati na TRC ilihujumiwa hadi zikafa kabisa na wahujumu hao ni wale wale. Hata SGR wapo ambao haiwafurahishi. We need total overhaul kuweka sawa Taifa letu otherwise tunaelekea nyakati ambazo tutakuwa na mfumo wa kifisadi mgumu mno kuuvunja.
Kwanza CCM yenyewe ambayo kuna watu wanajinasibu ni yao irudi kwa wananchi ili iwepo fair ground ya kujenga nchi bila individuals au some elites influences.
hayo malori na matankers mapya yaliyonunuliwa na wanene....si rtahisi wasihujumu sgrVP UPANDE WA WENYE MALORI
NA MABASI, MAMBO YAKOJE!
ova
Hatupo mbali Sana na huko.Nchi jirani imeshafirisika
Wewe kwani Mtanzania ?Kuna muda utafika, unakutana na mkenya, Mrwanda n.k, anakuuliza wewe ni Mtanzania? Unakataa tu, unasema sio Mtanzania, unataja tu walau kabila lako yatosha kabisa!
Kuna kaaibu fulani nakaona kwa hapo mbele kujitambulisha kama Mtanzani eti!
Hii nchi inafeli kila pahala sasa, mafisadi ndio wenye nchi na hawatishiwi nyau, kufeli kwa miradi ni sababu za mafisadi tu
Nchi inatafunwa mpaka tunakosa pesa ya kuendeshea miradi sasa!