SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
.Wewe kwani Mtanzania ? Maku weee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.Wewe kwani Mtanzania ? Maku weee.
Mimi sio Mtanzania wewe! Wewe ni Mtanzania?Wewe kwani Mtanzania ?
Taarifa za uhakika ni kuwa Ujenzi wa Reli ya SGR hasa vipande vinavyohusu kampani ya waturuki umesimama na kazi zinazoendelea ni chini ya asilimia kumi, yaani ni kama wanaweka watu wachache kwenye sites ili kusionekane hakuna watu kabisa.
Ni vema serikali kama kweli inawalipa ikachunguza ni nini kinaendelea huko, kama kuna matatizo pengine yanayotokana na madhara ya tetemeko la ardhi au kampuni inayumba kifedha basi hatua za haraka zichukuliwe.
Hii sio siri tena na mwisho itaonekana kama vile wananchi wanadanganywa, hali hii inasikitisha sana … kama kampuni imekwama basi watakiwe kutafuta mbia haraka.
Yes mimi ni Mtanzania na siwezi ona aibu kujitambulisha popote pale hata akuwepo mbuzi wa nchi yoyote unlike you .. uko na shobo sana.Mimi sio Mtanzania wewe! Wewe ni Mtanzania?
VIpi Saum inapanda ustadh maalim?
Mchawi ni CCMKuna muda utafika, unakutana na mkenya, Mrwanda n.k, anakuuliza wewe ni Mtanzania? Unakataa tu, unasema sio Mtanzania, unataja tu walau kabila lako yatosha kabisa!
Kuna kaaibu fulani nakaona kwa hapo mbele kujitambulisha kama Mtanzani eti!
Hii nchi inafeli kila pahala sasa, mafisadi ndio wenye nchi na hawatishiwi nyau, kufeli kwa miradi ni sababu za mafisadi tu
Nchi inatafunwa mpaka tunakosa pesa ya kuendeshea miradi sasa!
Pumbavu! Nyie ndo mnaotutia aibu kutaka tusijitambulishe kama watanzania kwa mambo yenu ya ukwapuaji na ulamba asaliYes mimi ni Mtanzania na siwezi ona aibu kujitambulisha popote pale hata akuwepo mbuzi wa nchi yoyote unlike you .. uko na shobo sana.
Kisamvu cha kopo ..acha shobo mtoto wa kiume utaliwa kisamvu iko.Pumbavu! Nyie ndo mnaotutia aibu kutaka tusijitambulishe kama watanzania kwa mambo yenu ya ukwapuaji na ulamba asali
Na angalau kidogo mzee baba kapumzishwa, hata CAG Report ilipotoka ni kama wamemsahau kwa muda hivi 😁!.Nilisikia pia mradi wa kufua umeme situation ipo hivyo.
Hali ni Tete kila mahali ila ndio hivyo mabango ya kusifia nayo ni mengi sana mjini.
Ndio hao hao walioshika kwenye mpini. Wananchi mmeshika huku kwingine.VP UPANDE WA WENYE MALORI
NA MABASI, MAMBO YAKOJE!
ova
JPM mwenyewe ali complicate tu ila hata kungekuwa na fair ground kiasi gani hakuna ambaye angemshinda uchaguzi uliopita! Hili sitaki hata kubishana na mtu.Irudi kwa wananchi vipi wakati tumeambiwa walishinda kwa 95% kwenye uchaguzi?!
Umenikumbusha miaka saba nyuma niliishi na wakenya jijini dar. Hawa wakenya eti walikuwa wananisaidia kutafuta kazi ndani ya hii TZ. Niliitwa hadi na benki fulani kufanya interview. Japo nilikuwa nina shida ila niliona aibu mno kutafutiwa kazi na mgeni ndani ya nchi yangu.Kuna muda utafika, unakutana na mkenya, Mrwanda n.k, anakuuliza wewe ni Mtanzania? Unakataa tu, unasema sio Mtanzania, unataja tu walau kabila lako yatosha kabisa!
Kuna kaaibu fulani nakaona kwa hapo mbele kujitambulisha kama Mtanzani eti!
Hii nchi inafeli kila pahala sasa, mafisadi ndio wenye nchi na hawatishiwi nyau, kufeli kwa miradi ni sababu za mafisadi tu
Nchi inatafunwa mpaka tunakosa pesa ya kuendeshea miradi sasa!