Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama

Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama

Wewe kwani Mtanzania ? Maku weee.
.
FB_IMG_1612012763868.jpg
 
17 January 2023
Bucharest, Romania

YAPI MERKEZI YASAINI MKATABA WA EURO MILIONI 45 KUKARABATI RELI ZA NCHINI ROMANIA


Video kipande cha kutoka Bucharest hadi Craiova nchini Romania kufanyiwa ukarabati wa nguvu na kampuni ya Uturuki ya Yapi Merkezi, shirika la reli la nchini Romania la CFR latangaza.

Yapi Merkezi yazidi kusaini mikataba ya sekta ya reli na ujenzi duniani huku website yake ikionesha mafanikio ya kikazi ndani ya Turkey yenyewe pia nchi za ngambo hasahasa UAE- the United Arab Emirates, Saudi Arabia, Sudan, Algeria, Morocco na Ethiopia.


Yapı Merkezi signs 45 mln euro railway upgrade deals in Romania​

AuthorNicoleta Banila
Published
Jan 17, 2023 17:39 EEST
BUCHAREST
Yapı Merkezi signs 45 mln euro railway upgrade deals in Romania
Source: CFR
January 17 (SeeNews) - Romanian railway operator CFR said on Tuesday that it signed 11 contracts worth a total of 221 million lei ($48 million/45 million euro) with Turkish company Yapı Merkezi for upgrades on the railway connecting Bucharest to Craiova.
Following rehabilitation works, the 24 km railway section will allow for train speeds of up to 120 km/h, CFR said in a press release.
Works under each of the 11 Quick Wins contracts should be completed within 24 months. Financing is secured through non-refundable funds under Romania’s National Plan for Recovery and Resilience, PNRR.
Yapı Merkezi Construction and Industry has so far developed buildings, heavy construction and railway projects both in Turkey and abroad, especially in the United Arab Emirates, Saudi Arabia, Sudan, Algeria, Morocco and Ethiopia, according to its website
 
Taarifa za uhakika ni kuwa Ujenzi wa Reli ya SGR hasa vipande vinavyohusu kampani ya waturuki umesimama na kazi zinazoendelea ni chini ya asilimia kumi, yaani ni kama wanaweka watu wachache kwenye sites ili kusionekane hakuna watu kabisa.

Ni vema serikali kama kweli inawalipa ikachunguza ni nini kinaendelea huko, kama kuna matatizo pengine yanayotokana na madhara ya tetemeko la ardhi au kampuni inayumba kifedha basi hatua za haraka zichukuliwe.

Hii sio siri tena na mwisho itaonekana kama vile wananchi wanadanganywa, hali hii inasikitisha sana … kama kampuni imekwama basi watakiwe kutafuta mbia haraka.

Unaweza kutupa mifano japo ya picha kuona hali halisi ilivyo! maana sisi huku kwetu mbwinde tunaona Yapi Merkezi waliendelea na shughuli za hapa na pale
 
Kuna muda utafika, unakutana na mkenya, Mrwanda n.k, anakuuliza wewe ni Mtanzania? Unakataa tu, unasema sio Mtanzania, unataja tu walau kabila lako yatosha kabisa!

Kuna kaaibu fulani nakaona kwa hapo mbele kujitambulisha kama Mtanzani eti!

Hii nchi inafeli kila pahala sasa, mafisadi ndio wenye nchi na hawatishiwi nyau, kufeli kwa miradi ni sababu za mafisadi tu

Nchi inatafunwa mpaka tunakosa pesa ya kuendeshea miradi sasa!
Mchawi ni CCM
 
Yes mimi ni Mtanzania na siwezi ona aibu kujitambulisha popote pale hata akuwepo mbuzi wa nchi yoyote unlike you .. uko na shobo sana.
Pumbavu! Nyie ndo mnaotutia aibu kutaka tusijitambulishe kama watanzania kwa mambo yenu ya ukwapuaji na ulamba asali
 
Pumbavu! Nyie ndo mnaotutia aibu kutaka tusijitambulishe kama watanzania kwa mambo yenu ya ukwapuaji na ulamba asali
Kisamvu cha kopo ..acha shobo mtoto wa kiume utaliwa kisamvu iko.
 
Tangu Novemba 2019 walitwambia safari za SGR kati ya Dar na Morogoro zingeasha, leo hii ni 2023........kuna kitu gani unatarajia hapo! Huu mradi umeshahujumiwa na unaenda kuwa white elephant pamoja na kutumia matrilioni ya pesa za nchi ambazo ni pamoja na mikopo ambayo tutaendelea kulipa kwa miaka mingi....​
 
Nilisikia pia mradi wa kufua umeme situation ipo hivyo.

Hali ni Tete kila mahali ila ndio hivyo mabango ya kusifia nayo ni mengi sana mjini.
Na angalau kidogo mzee baba kapumzishwa, hata CAG Report ilipotoka ni kama wamemsahau kwa muda hivi 😁!.
 
VP UPANDE WA WENYE MALORI
NA MABASI, MAMBO YAKOJE!

ova
Ndio hao hao walioshika kwenye mpini. Wananchi mmeshika huku kwingine.
Kibaya zaidi kila uchao wanashindana kuingiza mabasi. Siku hizi unasikia mgogo kaingiza 20, mnyaturu 100, mkwere kaingiza malori 500, msambaa pikipiki 10, mrangi baiskeli tatu.
 
Irudi kwa wananchi vipi wakati tumeambiwa walishinda kwa 95% kwenye uchaguzi?!
JPM mwenyewe ali complicate tu ila hata kungekuwa na fair ground kiasi gani hakuna ambaye angemshinda uchaguzi uliopita! Hili sitaki hata kubishana na mtu.

BTW ninaposema CCM kurudi kwenye mikono ya wananchi ni fursa kwa kila mwanachama kuchaguliwa bila influence ya fedha, kufuata katiba na kanuni kikamilifu zao wenyewe bila lobbyings na janja janja. Hii itaondoa dhana ya kubebana ambayo inaondoa uwajibikaji zaidi ya maigizo.

CCM kuhamisha focus ya watu kwa Rais hasa kipropaganda imefanya wapone lawama nyingi. Mfano sasa hivi tunaona awamu ya tano na sita ni kama wapinzani! Wapinzani halisi nao wanaingia kwenye mtego huo huo wa makundi hayo.

Wametengeneza awamu zinazopingana na kutusahaulisha adui halisi! Msoga vs Lupaso , Jiwe vs Msoga ! Sasha vs Jiwe Matatizo yanasalia yale yale ila tunafurahi tusiowapenda wakisulubiwa kijanja janja.
 
Kuna muda utafika, unakutana na mkenya, Mrwanda n.k, anakuuliza wewe ni Mtanzania? Unakataa tu, unasema sio Mtanzania, unataja tu walau kabila lako yatosha kabisa!

Kuna kaaibu fulani nakaona kwa hapo mbele kujitambulisha kama Mtanzani eti!

Hii nchi inafeli kila pahala sasa, mafisadi ndio wenye nchi na hawatishiwi nyau, kufeli kwa miradi ni sababu za mafisadi tu

Nchi inatafunwa mpaka tunakosa pesa ya kuendeshea miradi sasa!
Umenikumbusha miaka saba nyuma niliishi na wakenya jijini dar. Hawa wakenya eti walikuwa wananisaidia kutafuta kazi ndani ya hii TZ. Niliitwa hadi na benki fulani kufanya interview. Japo nilikuwa nina shida ila niliona aibu mno kutafutiwa kazi na mgeni ndani ya nchi yangu.

Jamaa hata ukikaa nao unaona kabisa walivyokuwa wanatuona hatujielewi kiasi cha wao kufanya mambo wanayoyataka. Ila JPM alivyopenya akavunja mtandao wao na wote wapo Kenya hadi sasa.

Hii nchi kuna wakati unajisikia aibu kujiita MTZ kwakweli.
 
Nilielewa sana kwa nini Trump kapelekwa mahakamani.

Siwezi kulinganisha Marekani na Tanganyika hata kidogo ila naweza kuchukua mazuri yao kuyaleta hapa kwetu ili tujifunze.

Bahati mbaya viongozi wetu wala hawaoni haibu au kuumia kwa kutumia kejeli na uongo kwetu wananchi.

Viongozi wetu hawana hofu wanajua hakuna tutakacho wafanya, ndiyo maana unaona wanafanya haya wanayofanya.

But lenye mwanzo lina mwisho.
📌Nipo na naendelea kujifunza tabia ya mwanadamu.
 
Back
Top Bottom