Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama

Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama

Hawa watu ni wapuuzi sana na sijui Kwa nini mods inaruhusu watu kuweka mada za tuhuma bila uthibitisho, possibly Kwa sababu jf ni ya mlengo wa Upinzani ndio maana wanawaacha..

Kwanza hakuna kilichosimama across sectors,tena miezi kama hii ndio Huwa serikali inamwaga pesa Ili zisibakie kuelekea mwisho wa mwaka..

Kama Kuna mradi umesimama ni sababu za Kupisha mvua na sio vinginevyo.

 
Watanzania sio wajinga, hata wakisifu na kuabudu kila mtu anajua tuna kiongozi mzigo kwa taifa bila shaka naye analijua hilo.

HIYO KAMPUNI YA WATURUKI NI KAMA IMEKUWA MUFILISI INADAIWA HADI NA MAMA NTILIYE ..
SERIKALI IJIPANGE TU KUVUNJA NAO MKATABA
 
Reli ya kati na TRC ilihujumiwa hadi zikafa kabisa na wahujumu hao ni wale wale. Hata SGR wapo ambao haiwafurahishi. We need total overhaul kuweka sawa Taifa letu otherwise tunaelekea nyakati ambazo tutakuwa na mfumo wa kifisadi mgumu mno kuuvunja.

Kwanza CCM yenyewe ambayo kuna watu wanajinasibu ni yao irudi kwa wananchi ili iwepo fair ground ya kujenga nchi bila individuals au some elites influences.
Kama waziri mmoja tu anaa mabasib 150 na ushee unategemea asimamie ujenzi wa reli halafu ataishije
 
Jamaa alisema akifa nani atasimamia miradi hii.ni kama alioteshwa hiviii, ni kama aliwaona wote hawana uwezo wa kumalizia hii miradi
 
Mikutano ya Lissu huko ngorongoro na kudai katiba mpya ndio inasababisha yote haya.
Kwanza katiba haileti maendeleo. Katiba Ni kijitabu tu.
 
Back
Top Bottom