Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama

Kama ni msimu wa mvua Kwa nini ujenzi usisimame?

Pia kama hawalipwi inavyostahili wanaweza Kusua sua pia,aidha juzi Kati hapo Wafanyakazi wao waligoma huko Singida.
 
Kama bado mnasubiri kurudishiwa Ccm 'yenu' iwakomboe mtasubiri sana tu..
 
tatizo usifiaji umekuwa mkubwa kuliko uhalisia wa mambo

sasa imagine hata viporo tu kumalizia ni shida,je itawezekana kuanzishwa kwa miradi mipya mingine?

Mungu tu asaidie kuvusha hili Taifa.
Nchi haiongozwi kienyeji kama unavyowaza wewe..

Som hapa baadhi tuu ya miradi mipya 👇
 
Hatupo mbali Sana na huko.
Hilo haliwezi kuja kutokea hapa Tanzania,Tanzania ni kama Uingereza au China inaendesha uchumi Kwa sera za tahadhari sana(accommodative policies) na ndio sababu ya kuwa na sluggish economic growth.

,

 
Na hili nalo nendeni mkaliangalie!
 
Niulize hivi Kwa nini Watu wanapenda sana taarifa za uzushi kiasi zinapata airtime kubwa na attention?

Mtu anatiririka bila hata kutaka kufahamu kama ni kweli au uongo? Si ajabu Watzn wengi ni average mind ndio maana umbea,ulalamishi,kujipendekeza nk kumezidi..
 
Unasema habari za uhakika kutoka kwa nani? Mkiendeleza uongo itabidi tumwambie webmaster akufute . Kama ni mawazo yako usiseme habari za uhakika sema kwa mawazo yangu!
Hili ni tatizo kubwa sana la Watzn na hapa jf Kwa kuwa ni mlengo wa Upinzani,mada kama hii haiwezi kufutwa licha ya kwamba ni mtu katunga uongo bila ushahidi.
 
Tumechelewa sana kuuvunja huo mtandao wa kifisadi, wamerudi kwa kasi ya ajabu.
This time watajenga ngome imara sana ambayo kuivunja itahitaji majeshi ya kigeni hasa wakikumbuka moto uliowachoma wa 2015 to 2021.
Hawa jamaa watatuchagulia rais wao, spika wao nk ili waendelee kuifaidi keki peke yao.
 
Bro acheleweshe kazi with no reason? Kwani hajui kwamba Kuna riba atakatwa au anaweza ingia kwenye liquidation damage?

Acha uzushi basi
 
Sio kweli mbona Kuna mambo yanaenda
Hawa watu ni wapuuzi sana na sijui Kwa nini mods inaruhusu watu kuweka mada za tuhuma bila uthibitisho, possibly Kwa sababu jf ni ya mlengo wa Upinzani ndio maana wanawaacha..

Kwanza hakuna kilichosimama across sectors,tena miezi kama hii ndio Huwa serikali inamwaga pesa Ili zisibakie kuelekea mwisho wa mwaka..

Kama Kuna mradi umesimama ni sababu za Kupisha mvua na sio vinginevyo.
 
Kwa hiyo unaweza kuweka hata kielelezo hata kimoja hapa kuthibitisha hizo tuhuma si watu walipiga kura na waangalizi wenu

Hao waangalizi si ndio walikuwa wanazuiwa kuingia kwenye vituo vya kura? Au unadhani ni mambo yamefanyika zamani sana kiasi kwamba tutakuwa tumesahau? Nasema hivi, ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Tumechoka utamaduni wa uongo hapa kama ni mawazo yako sema na sio kutudanganya "habari za uhakika" kutoka wapi?? Onyo la mwisho toa hoja acha uongo bila hivyo utaishia kwenye mitandao ya udaku

Unasikia wewe acha kutisha watu…au tishia watoto wadogo …..mimi nina karibu miaka 20 humu ndani …na sio tu kwa kuchat bali kuchangia dollars ….miaka ile hata kulipia hosting hadi wachache wetu tuchange ….
Na with due respect huu utamaduni wa members kutishia watu …haukuwapo ….tuambiwe wewe unatoa wapi authority ya kusema haya unayoandika hapa …Jibu watu kwa hoja na kwa kuwaheshimu …na sio kutishia ….seriouly umeni disappoint sana sana …..yaani unataka kuonyesha kuwa wewe ni special kuliko watu wengine ….
 
Kama ni msimu wa mvua Kwa nini ujenzi usisimame?

Pia kama hawalipwi inavyostahili wanaweza Kusua sua pia,aidha juzi Kati hapo Wafanyakazi wao waligoma huko Singida.

Nashukuru kwa kuwa Positive ……
Ningetegemea mtu mwenye maoni tofauti aseme possibilities kama wewe za kusua sua kwa mradi ….. mfano mvua au kuchelewa malipo ….
Kuna watu wanakua defensive hadi unashangaa pengine sababu ya kusuasua mradi ni ya aibu au kuna dhambi …..

Thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…