Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama


 
Watanzania sio wajinga, hata wakisifu na kuabudu kila mtu anajua tuna kiongozi mzigo kwa taifa bila shaka naye analijua hilo.

HIYO KAMPUNI YA WATURUKI NI KAMA IMEKUWA MUFILISI INADAIWA HADI NA MAMA NTILIYE ..
SERIKALI IJIPANGE TU KUVUNJA NAO MKATABA
 
Kama waziri mmoja tu anaa mabasib 150 na ushee unategemea asimamie ujenzi wa reli halafu ataishije
 
Jamaa alisema akifa nani atasimamia miradi hii.ni kama alioteshwa hiviii, ni kama aliwaona wote hawana uwezo wa kumalizia hii miradi
 
Mikutano ya Lissu huko ngorongoro na kudai katiba mpya ndio inasababisha yote haya.
Kwanza katiba haileti maendeleo. Katiba Ni kijitabu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…