KERO Maeneo mengi ya Mjini Jiji la Mbeya yana changamoto ya miundombinu, iboreshwe inatia aibu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Yupo sahihi, nenda Tanga kaone mji ulivyopangwa hadi uswahilini lkn barabara zipo na zinapitika na zinakutana, Na wananchi wa Tanga ni Wasikivu hutokuta mtu kajenga kuingilia barabara,viwanja vimepimwa na bikoni zimetembea maji yamefika kila kiwanja hata kama mtu hajajenga
Basi Wanatanga,watembee kifua mbele!
 
Kwa hiyo Mwabukusi alikuwa sahihi kusema, Mbeya ni mkusanyiko wa Vijiji!
Hata kama Serikali ime ignore Mbeya kwa miundombinu lakini kauli aliyoitumia haikuwa sahihi. Kwa kauli yake ametuponda hata sisi wana Mbeya. Yawezekana ni kwa sababu yeye ni Mnyakyusa wa kuzaliwa Mbuguni huko Arusha ila asili ya wazazi wake ni Busikelo.

Sisi wenye Mbeya tuna nmna yetu ya kukipenda chetu hata kama ni kibaya
 
Nilikuwa Mbeya juzi na jana. Leo naumwa mafua hatari. Lile Vumbi sio la dunia hii.

Inasikitisha.
 
Kwa hiyo kazi yako itakuwa ni machinga au boda boda, maana hao ndiyo wanakumbana na vumbi.
 
Back
Top Bottom