Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Nimekipenda sana kipengele hiki,kimezoeleka kukikuta TRA but wamekihamishia hapo ili ukijichanganya let's say useme 20mill hapo hapo unakutana na Magufuli akikutaka uanze kuchangia ujenzi wa stiegler gorge kabla hujaingiza hata bidhaa ndani!

Hatari sana.
View attachment 1630165
 
Mkuu naona unataka nje ya mada... unataka kusema hapo makabe Pana frame moja inauzwa hata laki 5 tu kwa mwezi au unajiongelesha kwa kulinganisha na huyo upuuzi wa hii inayoitwa "stand mpya"
 
Niwakumbushe tu Asilimia Kubwa wanaotumia kituo cha mabasi ni watu wa hali ya chini....kama umefanya utafiti Utanielewa... Kulipa kodi Kubwa halafu utegemee uuze bidhaa bei juu ufidie kodi it's wrong.... Fanyeni tafiti mjiridhishe kabla hamjaweka fedha zenu...
 
Mkuu naona unataka nje ya mada...
Kutoka nje ya mada ndio nini?
Usitake nikuone na wewe hujaenda shule aisee.
unataka kusema hapo makabe Pana frame moja inauzwa hata laki 5 tu kwa mwezi au unajiongelesha kwa kulinganisha na huyo upuuzi wa hii inayoitwa "stand mpya"
Mrisho nazungumzia maeneo yaliyo karibu na Stand mpya na huwezi kuiita upuuzi wakati mabilioni ya pesa za kodi zetu yamelala pale hiini dharau ya kishamba.

Kama utakuwa mwenyeji wa mitaa yetu hii kuanzia kwa Yusufu,Mnarani, Uswisi, Mbezi primary na Kabatini utagundua kuna changes kubwa sana ya bei za fremu.

Zakwetu tu tunapangisha kwa laki 7 per month na ziko eneo ambalo ni dk tano tu kwa mguu umefika stend mpya.
 
kwanza kabisa kwenye kuomba tusichanganye maeneo yamegawanyika sehemu 2

1.wamachinga,baba na mama lishe wenyewe wanaandika barua na kuambatanisha utambulisho wa makazi kwenda kwa mkurugenzi wa jiji na kodi haitazidi 60000 kwa mwezi

2.kunawanaomba kwa kupitia pangisha.tamisemi.go.tz hawa kima cha chini kwa sqm 1 ni kuanzia 40,000 na eneo la wakala imeandikwa wakala wa fedha ni sqm kama 3.3 na kuna eneo namba 1 namba 2 namba 3 kwamfano namba tatu ilikua haizidi laki 2 kwa mwezi na yanauzwa kwa mnada unaweza ukaandika dau lako kama ni 20000 kwa sqm 1 sio lazima ufuate bei waliyoandika wenyewe wameandika kima cha mwisho tu unaweza kuweka hata dau la 10000 kwa sqm 1 ila mwenye dau la juu ndio atapata eneo
 
Watakosa watu hzo Bei sio user friendly kwa majority ya watu wengi na hii vyuma kukaza tena
Kumbukeni Hiyo stendi ni ya Kimataifa sio Kama za huko Nanyumbu. Kama Huna hela ustaarabu ni kukaa kimya ukiendelea kutafuta hela
 
na kabla ya mkataba inabidi mtu ulipe kodi ya miezi mitatu kwanza kama dhamana
 
✓Dar es salaam ni tofauti na Mbeya. Uku ukigoma anakuja Boya mwingine anapigwa na mafremu ya kihuni.
 
acheni masikhara nyie. frem laki 7 mbezi nje ya mji?
 
acheni masikhara nyie. frem laki 7 mbezi nje ya mji?
Mbezi ni nje ya mji are you mad?
Na kibamba, au Kiluvya na Magohe kuitweje?

Na hiyo laki 7 ni zetu zipo zenye bei ghari zaidi naona hukujui Mbezi wewe nenda uulize frem tu zilizoko karibu na Mbezi luxury panaitwa mskitini ukitajiwa bei yake kufa hapo hapo usisogee Uswisi
 
ila mjue hii inafanyika kwa njia ya mnada tu sasa unakuta mtu anajipandishia tu bei akijua anakomoa mtu kumbe anajikomoa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…