Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #161
Pia minada inamiongozo ya bei za kuanzia...na hao bei za za kuanzia tu nikisangaaila mjue hii inafanyika kwa njia ya mnada tu sasa unakuta mtu anajipandishia tu bei akijua anakomoa mtu kumbe anajikomoa mwenyewe