Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

ila mjue hii inafanyika kwa njia ya mnada tu sasa unakuta mtu anajipandishia tu bei akijua anakomoa mtu kumbe anajikomoa mwenyewe
Pia minada inamiongozo ya bei za kuanzia...na hao bei za za kuanzia tu nikisangaa
 
kote huko nje ya mji acha porojo zako wewe
 
Sio ubungo sio wapi frem za stand hazina faida,hela na biashara ipo frem za pembezoni nnje ya hayo mafrem yao ndo kwenye biashara hasa.
Umeongea ukweli mtupu, najua vichwa vigumu wanaweza wasikuelewe
 
Aaaah! Aaaah! Aaaah! Viongozi hawajifunzi kutoka pale MACHINGA Complex.
Hahahah nikifikiria aina ya wafanyabiashara wa pale na tuvikapu twao hapo chini wakiuza nyanya alafu ndo unawajengea mjengo wa hvo na kuwataka Walipe kwa square meter hayo mamilioni teh teh the like of soko la ndugai, na stend kuu ya mabasi dodoma. Nadhani hili linatokana na kuwa na viongozi wasio na uelewa na masuala ya biashara na uwekezaji, siasa zinakuwa mingi mingi.........Ahahahahhaha eti bei elekezi ya cement afu yanajisahaulisha kwamba kuna kitu ya demand vs supply
 
Na wamechachamaa kweli na miradi ya design hii... kuna lingine wanalipandisha pale sijui ndo MANZESE sijui TANDALE.. kushoto kama unaenda Mjini kutokea Ubungo
 
Na wamechachamaa kweli na miradi ya design hii... kuna lingine wanalipandisha pale sijui ndo MANZESE sijui TANDALE.. kushoto kama unaenda Mjini kutokea Ubungo
Watafugia popo Amini nakwambia.....
 
Aaaah! Aaaah!
Tatizo wanafanya miradi pasipo kufanya feasibility study katika maeneo ya user experience, culture and social aspects za lile eneo, past, current and future projections of economic trend ya eneo husika.......wacha tujionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…