Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Asante sana, angalau nimepata pa kuanziaNenda Miami night Club, au kule Miyomboni. Kuna ka bar fulani hivi kako ghorofani. Kuna siku nilienda kuchungulia, halafu nikaondoka.
Pia jirani na chuo cha Rucu kuna Bar moja nayo iko na vibe sana! All in all, ukiwauliza Bodaboda, watakufikisha kwenye machimbo yote.
Vipo maeneo gani, na vina huduma gani?Usisahau vibanda vya ccm...
Sasa Kama yeye muislam itakuwaje π€?Usisahau vibanda vya ccm...
πππ nyama napenda sana,inabidi kujihamiTafuta hilo vibe lakini kuwa makini na kula nyama unaweza lishwa Scooby Doobie Doo.
Pia ukipata wa kupeana joto usije ukamuudhi, utamkuta ananing'inia kwenye dari kwa kujinyonga.
kitwiru ndio pakoje? jina limeniogopeshaKitwiru ndo namba moja
Mazingira si yako vizuri lakini?
Kama unayajua hayo machimbo njoo uniongoze π πSasa Kama yeye muislam itakuwaje π€?
kitwiru ndio pakoje? jina limeniogopesha
Usisahau condom mkuuWakuu mambo vipi?
Kutokana na joto kuzidi huku niliko, imenibidi nipange safari ya kuelekea mikoa ya kusini angalau niweze kushangaa shangaa na kuota baridi; nitaanza na mkoa wa Iringa na baadaye Ruvuma.
Sasa nataka nijue kwa wale waliotembelea maeneo hayo, hasa Iringa, ni sehemu gani nzuri, unaweza kupata 'vibe' ya kutosha, pamoja na kuondoa 'stress' za hapa na pale?
Nikipata pisi kali ya kuniongoza itakuwa vizuri pia.