Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

Kwenye sehemu za kugema ulanzi utakuta pisi nyingi sana kule.
Kabisa,siku tulipigwa gape na king cross tukamkamata konda akarudisha hela.
Ikabidi kuchukukua alt b,bus mpk mtera lingine hadi dom.
Tukapanda Shalawambe wa IRA wanalijua,libus bovu Renault limeoza.
Tukatimka nao safari ya mtera ikaanza.
Hapo kwenye milima pembeni tu likaharibika.
Sasa wale madingi tulikaa iringa siku 2 tukisubiria king cross tukawa tushazoeana.
Tukazama chimbo tukala ulanzi wa kufa mtu.
Hiyo safari ilikua adventure,yaani nikisimulia tutakesha.
Hiyo njia enzi hizo tope tu hamna lami.
 
Maeneo yako mengi tu ila kumbuka usipoteze hela zako kununua kondomu kwani kule hazitohitajika kwa sababu magonjwa ya zinaa kule hayapo
 
Wenyeji mko wapi asee??..huu.mji wenu hauna totoz kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…